Abdallah Bullembo

lageneral

Member
Mar 24, 2007
60
1
Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu.Huyu mtu hana elimu yakuweza kuwa hata diwani,leo hii anatoa upinzani katika uchaguzi wa jumuia ya wazazi.Mtu huyu lazima ameshikwa mkono na mafisadi.Alishindwa kwenye kura za maoni za udiwa Makumbusho dar.Alianza kama muuza genge huko Musoma kisha kuwa diwani Nyasho na kuingia Fat.
 
Mwacheni kijana wa watu apumzike. Kagombea kashindwa na akatoa hotuba nzuri ya kukubali kushindwa,si yameisha jamani?
 
Kama 'Mashushushu' wasingezuia zile mil 400 zilizokuwa zimwagwe kwa wajumbe wa Uchaguzi wa Wazazi kule Dodoma, basi ungeduwazwa na ushindi wa kishindo wa Bulembo! Si wajua kuna genge linawachagulia WaTz viongozi?
 
Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu.Huyu mtu hana elimu yakuweza kuwa hata diwani,leo hii anatoa upinzani katika uchaguzi wa jumuia ya wazazi.Mtu huyu lazima ameshikwa mkono na mafisadi.Alishindwa kwenye kura za maoni za udiwa Makumbusho dar.Alianza kama muuza genge huko Musoma kisha kuwa diwani Nyasho na kuingia Fat.

Jacob Zuma hana elimu lakini ni President wa nchi kubwa Africa, John Brescott na John Major walishika wadhifa mkubwa UK na elimu yao ilikua 1V

Bado unaweza usiwe na elimu hiyo unayo fikiria wewe na bado ukawa kiongzi mzuri ukashinda wenye Phd, Dr. nk, mfano tunao wengi tu hapa TZ wenye elimu ambao wanvurunga.
 
Kama 'Mashushushu' wasingezuia zile mil 400 zilizokuwa zimwagwe kwa wajumbe wa Uchaguzi wa Wazazi kule Dodoma, basi ungeduwazwa na ushindi wa kishindo wa Bulembo! Si wajua kuna genge linawachagulia WaTz viongozi?
Kwa nini hao mashushushu hawakuzuia zile za Sofia Simba na za Beno Malisa?Kama ndio wamezinduka basi wajue hivyo.
 
Jacob Zuma hana elimu lakini ni President wa nchi kubwa Africa, John Brescott na John Major walishika wadhifa mkubwa UK na elimu yao ilikua 1V

Bado unaweza usiwe na elimu hiyo unayo fikiria wewe na bado ukawa kiongzi mzuri ukashinda wenye Phd, Dr. nk, mfano tunao wengi tu hapa TZ wenye elimu ambao wanvurunga.
Mrekebisho Dr. ni mwenye Phd, historia ya Zuma na hao wengine unaweza kufananisha na ya Kawawa na si hao wengine wanaopata vyeo sasa hapa Tanzania kwani wapachikwa tu kulinda maslahi ya watu fulani.
 
sio lazima Dr. uwe na Phd. unaweza ukawa umechukua degree ya kwanza ya medicine-(MD) au Veterinary ukaitwa Dr.
 
Ama ukawa Mtaalaam kwenye fani mfano Dr.Remmy Ongala,Prof Maji Marefu,Prof Jay au hata vya kupachikwa vya kina JK.Period
 
huyu bwana Bulembo amewatia hasara mafisadi kwani kabla ya dom alishazunguka nchi nziama kwa wapiga kura kugawa fedha!hiyo ya 400m ilikuwa awamu ya nne.kibaya ambacho hatasamehewa ni kutumia ushirikina dhidi ya bal. mhina. kabla ya uchaguzi balozi mhina amepata ajali mbaya zisizo pungua nne na kusababisha vifo na majeruhi kadhaa kisa uchaguzi wa mwenyekiti wa wazazi! huyu bw bulembo kimaadili alikuwa hatoshi,inasikitisha kwamba hata hao watu wa juu kk hk ya chama hawakuliona hilo. huyu jamaa na mbwembwe zote hana mji,ni mdaiwa sugu,dhulumati,ameshindwa kulea familia yake ya wake wawili,anaishi kwa bla bla nk Tunamshukuru mungu kwa kudondosha zao la mafisadi! ER naRA walikuwa nyuma yake
 
Back
Top Bottom