Abdallah Bulembo awe wa kwanza kufukuzwa CCM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Najitokeza kwa mara ya pili leo kumzungumzia Alhaji Abdallah Bulembo,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM na kada mbobezi. Mara ya kwanza ilikuwa alipohusishwa na kukwamisha uchaguzi wa Meya Dar. Nilimshauri ajitenge na uchaguzi huo.Uchaguzi ukafanyika.

Leo,natoa wito wenye mvuto kuwa kada huyu awe wa kwanza kufukuzwa toka CCM. Ameharibu mchoro wa chama. Chama kinajichora kiubora kuwa kipo makini na pamoja. Kinajichora kuwa imeamuliwa bila kulalamikiwa kuwa Rais Magufuli akabidhiwe uenyekiti wa chama hapo Julai 23.

Kusema kuwa wanaopinga Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti waondolewe chamani,ni kuharibu msimamo wa chama. Ndani ya CCM,kimchoro usio na kihoro,hakuna wanaopinga. Wote wanashangilia bila kulia kwa kadhia. Wote wanataka kukabidhi badala ya kuchagua.Hakuna anaowasema!

Kwakuwa amesema lisilokuwepo,Bulembo awe wa kwanza kufukuzwa CCM.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
 
Mzee Tupa Tupa huyo jamaa anajivunia kuwa campaign manager wa boss hivyo anajisikia kusema chochote kuanzia Kakonko hadi hili la kutaka watu wafukuzwe
 
Mzee Tupatupa naona sasa umeanza kughani,

Huyu mzee amesahau kuwa uchaguzi umeshakwisha au anataka kuchukua kiti cha mwenezi? au uenezi unakwenda sambamba na usemaji hivyo Bulembo hana chake?
 
Vita vya Panzi.....
Si walisema huo ndio utamaduni wao sasa utamaduni unapingwa tena? Wasije kutuletea Machafuko Tanzania tunapenda Amani na Utulivu. Watulie tu wanyooshwe tena Awanyoshe kweli kweli.

Hii nasema kwa dhati kabisa toka Moyoni na siku zote msemakweli ni Mpenzi Wa Mungu
 
Najitokeza kwa mara ya pili leo kumzungumzia Alhaji Abdallah Bulembo,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM na kada mbobezi. Mara ya kwanza ilikuwa alipohusishwa na kukwamisha uchaguzi wa Meya Dar. Nilimshauri ajitenge na uchaguzi huo.Uchaguzi ukafanyika.

Leo,natoa wito wenye mvuto kuwa kada huyu awe wa kwanza kufukuzwa toka CCM. Ameharibu mchoro wa chama. Chama kinajichora kiubora kuwa kipo makini na pamoja. Kinajichora kuwa imeamuliwa bila kulalamikiwa kuwa Rais Magufuli akabidhiwe uenyekiti wa chama hapo Julai 23.

Kusema kuwa wanaopinga Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti waondolewe chamani,ni kuharibu msimamo wa chama. Ndani ya CCM,kimchoro usio na kihoro,hakuna wanaopinga. Wote wanashangilia bila kulia kwa kadhia. Wote wanataka kukabidhi badala ya kuchagua.Hakuna anaowasema!

Kwakuwa amesema lisilokuwepo,Bulembo awe wa kwanza kufukuzwa CCM.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kiuhalisia si rahisi Bulembo kufukuzwa. Kumbuka huyu jamaa alikuwa front sana wakati wa kampeni.
 
Najitokeza kwa mara ya pili leo kumzungumzia Alhaji Abdallah Bulembo,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM na kada mbobezi. Mara ya kwanza ilikuwa alipohusishwa na kukwamisha uchaguzi wa Meya Dar. Nilimshauri ajitenge na uchaguzi huo.Uchaguzi ukafanyika.

Leo,natoa wito wenye mvuto kuwa kada huyu awe wa kwanza kufukuzwa toka CCM. Ameharibu mchoro wa chama. Chama kinajichora kiubora kuwa kipo makini na pamoja. Kinajichora kuwa imeamuliwa bila kulalamikiwa kuwa Rais Magufuli akabidhiwe uenyekiti wa chama hapo Julai 23.

Kusema kuwa wanaopinga Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti waondolewe chamani,ni kuharibu msimamo wa chama. Ndani ya CCM,kimchoro usio na kihoro,hakuna wanaopinga. Wote wanashangilia bila kulia kwa kadhia. Wote wanataka kukabidhi badala ya kuchagua.Hakuna anaowasema!

Kwakuwa amesema lisilokuwepo,Bulembo awe wa kwanza kufukuzwa CCM.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Amezifanya vibaya hela za mashule kwa kuamuru hela zipelekwe chamani huku akiacha shule bila mishahara na matumizi mengine
 
Vita vya Panzi.....
Si walisema huo ndio utamaduni wao sasa utamaduni unapingwa tena? Wasije kutuletea Machafuko Tanzania tunapenda Amani na Utulivu. Watulie tu wanyooshwe tena Awanyoshe kweli kweli.

Hii nasema kwa dhati kabisa toka Moyoni na siku zote msemakweli ni Mpenzi Wa Mungu
Dua la kuku halimpati mwewe mkitabir kipindi cha uchaguz itakuwa kukabidhuwa chama
 
Najitokeza kwa mara ya pili leo kumzungumzia Alhaji Abdallah Bulembo,Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM na kada mbobezi. Mara ya kwanza ilikuwa alipohusishwa na kukwamisha uchaguzi wa Meya Dar. Nilimshauri ajitenge na uchaguzi huo.Uchaguzi ukafanyika.

Leo,natoa wito wenye mvuto kuwa kada huyu awe wa kwanza kufukuzwa toka CCM. Ameharibu mchoro wa chama. Chama kinajichora kiubora kuwa kipo makini na pamoja. Kinajichora kuwa imeamuliwa bila kulalamikiwa kuwa Rais Magufuli akabidhiwe uenyekiti wa chama hapo Julai 23.

Kusema kuwa wanaopinga Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti waondolewe chamani,ni kuharibu msimamo wa chama. Ndani ya CCM,kimchoro usio na kihoro,hakuna wanaopinga. Wote wanashangilia bila kulia kwa kadhia. Wote wanataka kukabidhi badala ya kuchagua.Hakuna anaowasema!

Kwakuwa amesema lisilokuwepo,Bulembo awe wa kwanza kufukuzwa CCM.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Actually anatakiwa aweke misalaba kila kona ...
 
Najua mnaujua ukweli ninyi wanaccm kuwa msingependa mkulu awe mwenyekiti wa chama chenu. Mna sababu za msingi sana kwa mtazamo wenu kwani mmo humo ccm kwa maslahi yenu na familia zenu. Mnadhani mkulu akiwa mwenyekiti mirija yenu itakatwa.
Bulembo hakosi katika mkumbo huo na ndio maana anajiongelesha mwenyewe. Mtakakataa. Kama siyo, chama kina taratibu zake na jambo lolote ni lazima lijadiliwe ndani ya vikao vya chama. Bulembo hili alilipuuza na kuwageuza waandishi wa habari aliowaalika kuwa wajumbe wa kikao chake hicho na kuwa msemaji wa ccm kitu ambacho ni kinyume na utaratibu.
Ni muhimu kusikia kutoka kwa msemaji wa ccm juu ya utenguaji wa taratibu za chama na kama kakiuka ambacho ni wazi basi atenguliwe na kufukuzwa uanachama.
 
Huwez kumtofautisha Bulembo na Magufuli kufukuzwa itakuwa ngumu Kama Mkapa kuachwa ccm
 
Back
Top Bottom