Jigsaw
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 1,823
- 680
Yupo mjini na mzigo wa hukumu kutokwa kwa mungu. Hii dunia ukiishi vizuri na watu basi hata ukiwa chini mungu hushusha baraka zake.Zombe yuko wapi?
Yupo mjini na mzigo wa hukumu kutokwa kwa mungu. Hii dunia ukiishi vizuri na watu basi hata ukiwa chini mungu hushusha baraka zake.Zombe yuko wapi?
Lema is a criminal. Over.Siyo Muro na Zombe tu waliozungumzia maisha ya Lema huko nyuma, ni wengi. Ubabe alio nao Lema kwenye siasa ni wa kutiliwa shaka kimaadili.
Aisee, Basi Lema ni tatizo kwenye jamii iliyostaarabika.Siyo Muro na Zombe tu waliozungumzia maisha ya Lema huko nyuma, ni wengi. Ubabe alio nao Lema kwenye siasa ni wa kutiliwa shaka kimaadili.
Nasubiri aje kumjibu Muro, na madam amesemwa nje ya Nje ya Bunge, asisubiri kinga ya Bunge, ajibu akiwa nje ya BungeLema is a criminal. Over.
Duh, hatari sana.Hata Mahita aliwahi kumtaja, na Mahita amewahi kuwa RPC Kili na AR
Aisee, Basi Lema ni tatizo kwenye jamii iliyostaarabika.[/QUOTE
Mna uthibitisho au mnabwabwaja tu
Unalia lia nini...si mumpeleke kwenye vyombo vya husika?Lema is a criminal. Over.
'alikuwa mwizi wa magari' lakini sasa je?
huyu anafaa kuwa kiongozi maana anajua mchezo wa wajanja, nakushauri mwambie magu amuweke wizara ya mambo ya ndani, waliompiga lisu na wanaotupawatu baharini watakamatwa in second.
tumia akili
Kama mkuu wa Jeshi la Polisi anaishia kumtaja tu mharifu badala ya kuchukua hatua za kisheria huyo IGP ni mpumbavu na hafai kuwa kwa nafasi aliyonayoHata Mahita aliwahi kumtaja, na Mahita amewahi kuwa RPC Kili na AR
Huna akili wewe, unapa Fisi kulinda Bucha?'alikuwa mwizi wa magari' lakini sasa je?
huyu anafaa kuwa kiongozi maana anajua mchezo wa wajanja, nakushauri mwambie magu amuweke wizara ya mambo ya ndani, waliompiga lisu na wanaotupawatu baharini watakamatwa in second.
tumia akili
Mtazamo wako hautoshi kumuona Lema ni shujaa, atoe kauli ya kukanusha haraka tuhuma hizi. Mwizi siyo mtu wa kuonea huruma hata kidogo.Kama mkuu wa Jeshi la Polisi anaishia kumtaja tu mharifu badala ya kuchukua hatua za kisheria huyo IGP ni mpumbavu na hafai kuwa kwa nafasi aliyonayo
Huyo RPC naye basi alikuwa mharifu iwapo alikuwa analinda waharifu na kushindwa kuwachukulia hatua za kisheriaHata Mahita aliwahi kumtaja, na Mahita amewahi kuwa RPC Kili na AR
Hata Chadema kwa miaka kadhaa walikuwa wakidai Lowassa ni Fisadi !Kama mkuu wa Jeshi la Polisi anaishia kumtaja tu mharifu badala ya kuchukua hatua za kisheria huyo IGP ni mpumbavu na hafai kuwa kwa nafasi aliyonayo
Chadema is a bunch of criminals.And so chadema will never rule this country, Tanzania