Nguli wa soka hapa bongo aliyewahi kutamba na timu za sigara na simba jijini dar Abdalah Ramadhan "MSAMBA" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo...............
Rage kila kitu anapitia, unakumbuka alipitiaga na mpira ya FIFA? Tenga shughulikia shughuli nzima ya kumlaza ndugu yetu kwa heshima zote za kimichezo. RIP Msamba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.