Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Habari wanabodi, Mjadala umeibuliwa juu ya MoU kati ya Gov za Kenya na Tanzania kuhusu kupeleka Madaktari Kenya. Muhimu kufahamu ni kwamba :
1. Kwa sasa Kenya inajiandaa na Uchaguzi Mkuu na hivyo agenda ya ajira kwa Wakenya ni ya kipaumbele, Hivyo uwepo wako Kenya katika nyakati hizo Unahitaji Tafakari binafsi.
2. Kwa ufupi ni kwamba Kenya pia ina storage ya staffs, Na pia kuna zaidi ya Madaktari 1400 ambao hawakuajiriwa.
3. Ili kufanya kazi Kenya Unahitaji kusoma na kufanya exams za Medical Board ili kupata leseni ya kufanya kazi - Bila leseni ni marufuku na kinyume cha sheria kutibu.
4. Muda wa chini kabisa kupata leseni ni siku 90.
5. Kwa sasa ni vigumu kupata ushirikiano kutoka kwa nurses na doctors, ambao wanaona kama mmekuja kuhujumu harakati zao, na kuzuia ajira za wenzao.
6. Ni muhimu zaidi kujua taasisi za Kenya ni huru na zinaendeshwa kwa weledi - hivyo Unaweza kushitakiwa kwa kufanya kazi bila nyaraka muhimu.
7. Ulinzi ni muhimu sana