Abas Byabusha Pongezi Mwenyekiti wetu Chadema Marekani nzima! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abas Byabusha Pongezi Mwenyekiti wetu Chadema Marekani nzima!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dmvuno, Jul 3, 2012.

 1. d

  dmvuno Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunapenda kumpongeza Mh. Abas Byabusha kwa kupata nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Marekani nzima. Mh. Byabusha pia ni Banker amekuwa mstri wa mbele katika kuijenga Chadema Marekani. Hongera sana kaka yetu tupo nawe pamoja Amen. Byabusha.jpg Karibu kwetu PA
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ubarikiwe na Mola, na libarikiwe tumbo lililokuzaa.
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,600
  Likes Received: 1,678
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Vipi pale Abas huyu, Naona hajavaa Gwanda pale!!
   
 5. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo ndio ilikuwa siku yake harusi kwa wale ambao hamjafahamu vizuri
   
Loading...