Abandika kipande cha Almasi chenye thamani ya Bilioni 50 usoni

Rapa kutoka nchini Marekani Lil Uzi ameonyesha kwamba pesa kwake 'sio kitu' kwa kubandika kipande cha madini ya Almasi(Pink Diamond) usoni cha thamani ya Dola za Kimarekani milioni 24 ($24Million) kama urembo.

Hatua hiyo imewashangaza wengi kwani kipande hicho cha Almasi kimewekwa kwa ustadi mkubwa bila kuwa na vishikizo vyoyote vinavyoonekana.

NB;Inabidi ajitunze sana maana 'wakulungwa'wakimwotea wataondoka na sura yote.View attachment 1711827View attachment 1711828
Ivi hawa hawaongezi sifuri kweli kama wakwetu
 
Nakubali ngoma zake
What I want
Kuna moja yupo na Minaj
Go off Kashirikishwa ni moja Kati ya nyimbo zilizopo kwenye album ya fast n Furious
Bad and boujee ft Migos
 
Rapa kutoka nchini Marekani Lil Uzi ameonyesha kwamba pesa kwake 'sio kitu' kwa kubandika kipande cha madini ya Almasi(Pink Diamond) usoni cha thamani ya Dola za Kimarekani milioni 24 ($24Million) kama urembo.

Hatua hiyo imewashangaza wengi kwani kipande hicho cha Almasi kimewekwa kwa ustadi mkubwa bila kuwa na vishikizo vyoyote vinavyoonekana.

NB;Inabidi ajitunze sana maana 'wakulungwa'wakimwotea wataondoka na sura yote.View attachment 1711827View attachment 1711828
Ullimbukeni kitu kibaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24-1=23 Aisee,bado sana jamaa anatisha Mara 23 zaidi yake

Hivi hawa wasanii ni Pesa za mziki tu au kuna magumashi mengine wanafanya?maana huku kwetu sio maarufu sana
Baadhi ya wasanii wanapenda kuongeza sifuri

Ova
 
Back
Top Bottom