Abakwe mkeo au abakwe mumeo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abakwe mkeo au abakwe mumeo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by XOXOQY, May 31, 2011.

 1. X

  XOXOQY JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 220
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hebu piga picha jambazi limeingia chumbani kwenu alafu linawaambia linataka kumbaka mmoja wenu mke au mume kama ungekuwa wewe ungekubali ubakwe wewe au ungemsukumia mwenzio
   
 2. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kama huna jinsi ya kujiokoa, basi hata jinsi ya kumuokoa mwingine hakuna, na hivyo fikra zenyewe hazisaidii kwa mtazamo wangu....! Unless this is no longer an assumption....!
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hakuna wa kubakwa kati yetu!

  How could you ever thing of such a thing?
   
 4. b

  babap Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  akibakwa mume, baada ya masaa machache habari itasambaa mji mzima na huchelewi kuitwa shoga. So ni bora mke.
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Chui akitajwa hutokea. Uswaombee wana JF mabaya kama hayo. Hakuna anayependa kusikia unyama kama huo katika Jamii iliyoendelea kama JF, think for Development and Not for Non Sense like this.
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mi nadhani jibu unalo, tuambie wewe ilivyokutokea ulibakwa wewe au mwenzako?
   
 7. WAKUNJOMBE

  WAKUNJOMBE JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  let assume is an asumption.............katika hali ya kimaumbile, fikra na hadhi ya mtu hata sikumoja huwezi fikiri kuwa mwanaume anaweza bakwa...but kama unamawazo yakipwani pwani basi mwanaume aweza bakwa......
   
 8. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mi nitaomba ubakwe wewe
   
Loading...