Ab-Tichaz na Smatta hili mtakuwa mnalifahamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ab-Tichaz na Smatta hili mtakuwa mnalifahamu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kitty Galore, Jul 23, 2011.

 1. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kuna mama mmoja Nairobi anatibu meno kwa kutumia mitishamba (sio uganga). Nilimuona kwenye Citizen pamoja na wateja wake. Kikubwa sana anachokifanya ni kusafisha meno na kuwa meupe pee.
  Kuna watu tuna meno kama mahindi ya kukaanga sasa nadhani huyu mama anaweza kutusaidia katika kusafisha meno yetu.
  Naomba mtufanyie utafiti tujue yupo wapi na gharama zake.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,314
  Likes Received: 19,468
  Trophy Points: 280
  hadi meno ya wameru?
   
 3. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya wanyiramba je??
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yote yanasafishwa, jamani kama kuna anayejua zaidi ya hao niliowataja (naona wamekauka) naomba anijulishe
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sijui kuhusu Kenya wala sijawahi kujaribu lakini kuna kampuni nyingi ughaibuni zinazofanya hii kazi kwa chemicals na wewe mwenyewe unaweza kujaribu nyumbani kwako cheki hapo chini:-
  source How To Whiten Your Teeth For Free


  By the way, ukitumia niambie kama inafanya kazi maybe na mimi taanza kujitangaza kwenye radio na kutengeneza pesa :)
   
Loading...