AAR insurance premier

Little Angel

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
1,212
372
Naombeni mnisaidie plz,mi nimeajiriwa hivi karibuni na kampuni inatumia aar insurance. Nina kadi ya premier,je naweza itumia kumwona dentist?

nyuma ya hiyo card kuna namba za simu, wapigie waulize maswali yoote! just note kama upo dsm kwa matibabu ya meno ni lazima uende hospitali yao iliyoko posta, karibu na haidery plaza.kama haupo dar wapigie wakupe maelekezo.
pole, na kila la kheri (watz najua hatufanyi checkup, lazma uwe waumwa kinywa)

Kaka/Dada acha mashauzi kwani mwajiri wako ana kazi gani mpaka uje kutuuliza maswali ya ajabu ajabu humu. Wewe kama umepewa kadi ya AAR Premier au whatever hiyo ni kimpango wako... Lakini sio kosa lako ni kwa kuwa ndio kwanza umeajiriwa!

Inawezekana mwajiri wake hakumpa maelezo ya kutosha. Na pia baadhi ya insurers hawatoi policy documents kwa baadhi ya wateja wao.... Nimesema TU

naombeni mnisaidie plz,mi nimeajiriwa hivi karibuni na kampuni inatumia aar insurance. Nina kadi ya premier,je naweza itumia kumwona dentist?

mkuu unaweza kumwona kwa kibali cha kutoka makao makuu aar..wako maakini sana na swala dentist kwa upande wa dar es salaam wameweka sheria swala la meno unaenda pale kwao mjini wanakuhusugulikia walikutana na bili za ajabu sana tmj aghakan kuhusu men nahisi wameamua kuakikisha meno unaenda mjini...pamoja na premier yako binafsi nina premio kabisa lakini awaruhusu mpaka nikaenda pale mjini wakanichiokonoa menoyangu ni wazuri nilikuwa naogopa maana nilikuwa na

nyuma ya hiyo card kuna namba za simu, wapigie waulize maswali yoote! just note kama upo dsm kwa matibabu ya meno ni lazima uende hospitali yao iliyoko posta, karibu na haidery plaza.kama haupo dar wapigie wakupe maelekezo.

pole, na kila la kheri (watz najua hatufanyi checkup, lazma uwe waumwa kinywa)

AI JAMANI KING'ASTI, SIUMWI ILA KUNA JINO LIMEBANDUKA FILLING NILIZIBA LOONG NIKIWA CHUO.
THANKS SANA.

Kaka/Dada acha mashauzi kwani mwajiri wako ana kazi gani mpaka uje kutuuliza maswali ya ajabu ajabu humu. Wewe kama umepewa kadi ya AAR Premier au whatever hiyo ni kimpango wako... Lakini sio kosa lako ni kwa kuwa ndio kwanza umeajiriwa!

HEEE,HEBU PUNGUZA MUNKARI KAKA/DADA. SASA MASHAUZI GANI NILIYOLETA? KUNA UFAHAR GANI KUWA NA HII KADI? PLZ KAMA UNAONA HUWEZI KUNIPA MWONGOZO BETTER UKAE KIMYA. THANKS ANYWAY.

Inawezekana mwajiri wake hakumpa maelezo ya kutosha. Na pia baadhi ya insurers hawatoi policy documents kwa baadhi ya wateja wao.... Nimesema TU

YO VERY RITE,CNA INFO YA KUTOSHA NDO MAANA NIKAOMBA MSAADA WA HUMU NDANI,AU NI KOSA JAMANI?

mkuu unaweza kumwona kwa kibali cha kutoka makao makuu aar..wako maakini sana na swala dentist kwa upande wa dar es salaam wameweka sheria swala la meno unaenda pale kwao mjini wanakuhusugulikia walikutana na bili za ajabu sana tmj aghakan kuhusu men nahisi wameamua kuakikisha meno unaenda mjini...pamoja na premier yako binafsi nina premio kabisa lakini awaruhusu mpaka nikaenda pale mjini wakanichiokonoa menoyangu ni wazuri nilikuwa naogopa maana nilikuwa na

PDIDY, THX SOOO MUCH FOR YOUR USEFUL INFORMATION. ILA HUJAMALIZIA SENTENSI YAKO,PLZ MALIZIA NNA HAMU YA KUJUA

pdidy, thx sooo much for your useful information. Ila hujamalizia sentensi yako,plz malizia nna hamu ya kujua

ooh nilikuwa nafanya chk up ya meno pale regency hospit wakanchomolea nikaenda tmj nikapewa live hiyo issue ya meno ikabidi niende mjini kilichoniumiza zaidi nilipofika ilikuwa jumatano nikaambiwa jumatano na ijumaa ni siku ambazo untakiwa kufanya booking ikabidi nirudi ofisini na maumivu nikafanya booking ijumaa nikaambiwa wamejaa mpaka nextweek kwa kweli niliumia nikampigia binti mmoja pale morocco naona mmechoka sasa akasema ni utaratibu so jaribu kupiga namba yao kwanza usijeomba job alafu ukute unatakiwa kwwenye booking pole bra hata mimi natarajia kwenda jumatatu nahisi lingine linatakiwa kuzibwa-jino ukiwepo j3 tujuzane

Kaka/Dada acha mashauzi kwani mwajiri wako ana kazi gani mpaka uje kutuuliza maswali ya ajabu ajabu humu. Wewe kama umepewa kadi ya AAR Premier au whatever hiyo ni kimpango wako... Lakini sio kosa lako ni kwa kuwa ndio kwanza umeajiriwa!

Mmh! Kaka Mweupe mimi napita tu.

ooh nilikuwa nafanya chk up ya meno pale regency hospit wakanchomolea nikaenda tmj nikapewa live hiyo issue ya meno ikabidi niende mjini kilichoniumiza zaidi nilipofika ilikuwa jumatano nikaambiwa jumatano na ijumaa ni siku ambazo untakiwa kufanya booking ikabidi nirudi ofisini na maumivu nikafanya booking ijumaa nikaambiwa wamejaa mpaka nextweek kwa kweli niliumia nikampigia binti mmoja pale morocco naona mmechoka sasa akasema ni utaratibu so jaribu kupiga namba yao kwanza usijeomba job alafu ukute unatakiwa kwwenye booking pole bra hata mimi natarajia kwenda jumatatu nahisi lingine linatakiwa kuzibwa-jino ukiwepo j3 tujuzane

OH,POLE SANA MKUU. MI HALIUMI SEMA NAONA KERO TU KWASABABU YA TOBO. KESHO NITAENDA PALE KUCHEKI.
THX SANA.

Back
Top Bottom