AAR insurance inapunguza wafanyakazi, wateja hakuna. Mashirika yote ya umma yameambiwa bima ni NHIF

AAR nadhani kupunguza kwao wafanyakazi inatokana na hali ya uchumi kushuka, waliajiri sana kwa kujuana, Sales and Marketing Dept yao imeshindwa kuuza bidhaa zao, Kampuni nyingi za bima zikishaanza kuwa na vi dispensary kama wao wanavyofanya basi kuwalipa third party inakuwa ngumu.

NHIF tayari wanaonekana wamezidiwa mzigo kuna hospitali nyingi hazikubali bima zao mfano Sanitas, Agha Khan na hizi za nje ya miji ndio kabisa.
Hizo hosp si kuwa wanakataa ...
Nimesikia ni issue ya kukosa uaminifu kama kubambikia NHIF bill kuuubwa...

Ila niwashauri NHF kama mdau...hospital ikidanganya tafuteni njia ya kuwawajibisha ambayo si kuvunja mkataba...
Maana mkivunja mkataba mnawapa shida wanachama kwani unaweza jikuta huwezi tibiwa hosp ambayo ilikuwa more convenient kwako...sababu wame cheat...

si muwapige fine tuuu....na muweke tight control mechanisms kuzuia udanganyifu...

Bima zinaibiwa sana na watoa huduma za afya...hata Ulaya....
 
agakhan anaringa vibaya mno.. mpaka bima za mabank nmb, crdb anazikataa.. hadi aar wenyewe anawakataaa isipokuwa wale premium members tu..

hata nssf, tanesco, na mashirika kibao kabla ya nhif bado agakhan alikuwa anakataa bima zao..

yeye anatibu bima za staffs wa ubalozi wa usa na the likes.. na bima makubwa makubwa..

anachoringa agakhan ni kuwa matajiri karibu wote dar wakipata dharura wanaenda agakhan.. so hakosi wateja hata iweje...

Agha khan hawakuwahi kukataa AAR au Strategis. Isipokuwa kampuni za bima makini zinaweka verification officer agha khan. Ukishaanza process za invoice na ulipaji unapita kwa verification officer akukipitisha unaendelea.

Mfano hakuna hospital gharama kubwa kujifungua mtoto kama Agha khan. Au ukivinjika mkono ile kupata huduma ya slab ni shida lakini bima zina cover.
 
Hospitali zote Tanzania wakiona umekwenda na bima lazima wakupige bei za ajabu
Ni hulka yetu kutokuwa waaminifu kama taifa. Nenda South Africa au Egypt hakuna mtu kukuangalia sura na kukubambikia bei ya juu
 
Yap sasa tukatunushe mfuko wetu wa umma, binafsi nipo na insurance ya AAR na ninafanya kazi shirika la umma, sasa nimefurahushwa sana na huu uamuzi kuwa mashirika ya umma tukalipie insurance Bima ya Taifa. Siyo kuwatajirisha wahindi tena huku shirika letu la bima la taifa linachechemea.
Kama wangekuwa na huduma bora wasingehitaji kubebwa. Ndio hayo hayo maamuzi yaliyoua viwandabna mashirika yetu.
 
Kila zama na kitabu chake..when fate hand us a lemon let's try to make a lemonade!
 
Kujenga viwanda pia ni kosa...
ziwe ni za afya tuuuu...

nachopendea NHIF ni kukubali kutibu wazazi...
Mashirika mengi wazazi ni no...

Ila hata mimi mwanza nilikuwa siwapendi na nilichukia sana tulipolazimishwa kuamia huko...
Ila sasa ni miaka kadhaa ...nimeshawazoea ... inasaidia sana

Pamoja na hayo, mashirika ya umma yasibweteshwe na serikali.

Tupo dunia ya ushindani, wapambane kuleta ufanisi ili wapate wateja wengi..
 
Japo sipendi watanzania wakose kazi ila nachukia kampuni zinazokula hela za serikali kizembe zembe tu... mwalimu anatibiwa nhif huku mfanyakazi bot anatibiwa na AAR agakhan au best hospitals around the world.

hapa ndipo napomkubali magufuli...

hawa jamaa wamepiga sana hela za mashirika ya uma... wameguswa kidogo wanakimbilia kupunguza wafanyakazi.View attachment 517884
JPM namkubali sana kwa kweli,excellent decision.Wabangaize kwa individuals,private institutions na NGOs.Kwa nini hela zetu tupeleke kwao? Ilikuwa mipango ya ulaji tu.
 
sawa.. ndio maana nimefurahi mwalimu na mbunge wote wawe nhif.. baada ya hapo wataona umuhimu wa hadi mwalimu na nhif wote waende agakhan..

ila umuhimu huo hawawezi uona wao wakiwa bima binafsi... huku walimu nhif
Umasikini umekukaa kwenye damu najua unaumia sana ukiona watu wanakula maisha wewe bado apeche alolo
 
Policy mbovu kabisa.
Unalazimisha mashirika yote yaende NHIF huko ukiumwa unaamniwa maradha haya yana tibiwa na serikali hatulipi.
Ukipata tatizo ambalo hatuna uwezo nalo hamna cover ya kuwa transfered nje.
Na pia mfuko mwisha utaambiwa ujenge viwanda
Hata NIC nao wamepata vya bure..nila ya jasho...nao makapuni ya serikali yote yakate bima NIC ..sasa ulipo ruhusu competetion hukujua kuwa kampuni zitashindana kwa huduma ?
Haya tufanyao yote yana kwenda kinyume na sheria zetu za soko huria.
Sheria ya Fair Competetion act inaweka wazi kuwa ni kosa kufanya forced selling...hapa serikali inafanya forced sales...lazima ununue NIC
Hivi kwa nini yuna penda kuvunja sheria ?
Nadhani njia nzuri kwanza ni kufuta hizi sheria na pia turudi tu kwenye serikali kuhodhi njia zote za uchumi...kuanzia mabenki
Bima
Mashamba
Mkate
Cinema
Madini
Ndege..
Turudi tu kama 1967 kulikokujidai unataka biashara na wawekezaji halafu unakandamiza soko na kuwatia hasara wawekezaji
Nadhani ni muhimu ukatofautisha social security na bidhaa za kawaida. Kuna mambo ambayo serikali nyingi duniani hata kama wamekuwa watandawazi kiasi gani lakini bado hawajakubali kuyaacha kwenye sector binafsi. ....mfano Afya, elimu, maji n.k. Hizi ni huduma ambazo ukiziacha kwenye sector binafsi wengine watazikosa. .....So BIG UP OUR PRESIDENT MAGUFULI. ..WE NEED EQUAL RIGHT TO LEAVE KWA KILA MTANZANIA. Fedha za mashirika ya umma ni kodi za wananchi hivyo lazima zituzwe na shirika la umma kama NHIF.
 
AAR nadhani kupunguza kwao wafanyakazi inatokana na hali ya uchumi kushuka, waliajiri sana kwa kujuana, Sales and Marketing Dept yao imeshindwa kuuza bidhaa zao, Kampuni nyingi za bima zikishaanza kuwa na vi dispensary kama wao wanavyofanya basi kuwalipa third party inakuwa ngumu.

NHIF tayari wanaonekana wamezidiwa mzigo kuna hospitali nyingi hazikubali bima zao mfano Sanitas, Agha Khan na hizi za nje ya miji ndio kabisa.
Siyo kweli....acha kupotosha umma. Taarifa zilizopo ni kwamba aghakhani na sanitas walifungiwa kutokana na kukiukà mkataba wa huduma. Ninaamini siku zijazo watasajiliwa maana ni muda mrefu wapo bench hope watakua washajirekebisha kwa sasa
 
Hizo hosp si kuwa wanakataa ...
Nimesikia ni issue ya kukosa uaminifu kama kubambikia NHIF bill kuuubwa...

Ila niwashauri NHF kama mdau...hospital ikidanganya tafuteni njia ya kuwawajibisha ambayo si kuvunja mkataba...
Maana mkivunja mkataba mnawapa shida wanachama kwani unaweza jikuta huwezi tibiwa hosp ambayo ilikuwa more convenient kwako...sababu wame cheat...

si muwapige fine tuuu....na muweke tight control mechanisms kuzuia udanganyifu...

Bima zinaibiwa sana na watoa huduma za afya...hata Ulaya....
Umeongea kweli kaka hizi hosp huwa wanaoverbill sana
Niliwahi kushuhudia hospitali moja walifanya fraud hivyo walichofanya sio kusitisha mkataba walilipa kiasi walichoiba na penalty juu
Pia ni muhimu haya makampuni ya bima yabuni njia za kupunguza hizi fraud maana wanaibiwa sana.
 
agakhan anaringa vibaya mno.. mpaka bima za mabank nmb, crdb anazikataa.. hadi aar wenyewe anawakataaa isipokuwa wale premium members tu..

hata nssf, tanesco, na mashirika kibao kabla ya nhif bado agakhan alikuwa anakataa bima zao..

yeye anatibu bima za staffs wa ubalozi wa usa na the likes.. na bima makubwa makubwa..

anachoringa agakhan ni kuwa matajiri karibu wote dar wakipata dharura wanaenda agakhan.. so hakosi wateja hata iweje...
Wewe ni mwongo sana ....umeanzisha mada iliyojaa fix kibao nikakupotezea ..sasa naona unazidi kuandika upupu tu ....Bima za Mabank ndio nini? ....Lini Agakhan wamekataa kadi za AAR? ....Mnaharibu sana credibility ya jukwaa hili pendwa ....
 
JPM namkubali sana kwa kweli,excellent decision.Wabangaize kwa individuals,private institutions na NGOs.Kwa nini hela zetu tupeleke kwao? Ilikuwa mipango ya ulaji tu.
Pamoja na yote lakini maamuzi ya kuchagua mfuko wa bima ya afya, yalipaswa kuwa maamuzi ya muajiriwa, kwa sababu ni mshahara wake ndo unakatwa. Kumlazimisha mtu asajiliwe NHIF wakati yeye anapenda kuwa mfuko mwingine naona si sawa.
 
Hakuna mfuko mzuri kama NHIF.Ukistaafu au ukipata ligonjwa likubwa, ndio utatambua ukweli huu.Jiunge mkuu, ni mfuko mzuri sana,hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako.
 
Back
Top Bottom