Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

Ka wapenzi wa mpira wanakipendea kwa ajili ya soka pekee kwa sababu ya unafuu wa vifurushi vyao.

ila kama unataka kuangalia taarifa ya habari kwenye Canal Soprt hakikisha una mkalimani kando yako.
Mnaposema mechi zote hadi EPLmechi zote ?
 
Mnaposema mechi zote hadi EPLmechi zote ?
Kwa experience yangu sio mechi zote! BALI I MECHI MUHIMU AMBAZO HATA WEWE UNAWEZA KUKAA SEBULEI KWAKO KUITAZAMA.

Sidhani kama kuna mtu anayeweza kaa sebleni akitazama crystal palace akiumana na Burnley.
 
Tupo mkuu Crystal Palace na Burnley mbona bonge la gemu? Watu tunaangalia na kufatilia mpaka Championship sembuse mechi ya Premier League
 
Back
Top Bottom