'Aajbu': Ustaadhi agoma kuoga maji yalotiwa kidole!!!!!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Ilikuwa ni mtiti mkubwa sikuwahi kuona. Ustaadhi mmoja maeneo ya dodoma alimkoromea mtoto wa jirani -mtoto wa mpangaji mwenzake-kisa kwanini yule mtoto aliyatia kidole maji yalokuwa yametengwa kwenye jiko la jirani huyo. Ilianza kama mzaha wakati ustaadhi akitoka nje kwenda kuoga huku mkewe akiwa na ndoo tayari kuyapooza maji ili mumewe akaoge. Ghafla ustaadhi akamuona jirani akipima joto la maji ili ayaipue jikoni ili apashe moto mboga.

Baada ya kuona kitendo hicho ustaadhi 'alimkoromea' sana huyo jamaa na aligoma kwenda kuyaoga hayo maji. Na kweli mkewe ilibidi amtengee maji mengine mumewe.

Binafsi sikuelewa kabisa kosa la yule jirani ya ustaadhi, hivyo naomba mnieleweshe wanajf, hivi tatizo ni nini kwa kitendo kile? Je kuna uhusiano gani na Mungu kwa kitendo kile maana kuna wakati jamaa alikuwa ana 'link' kutiwa kwa maji kidole na mambo ya kidini, ingawa hakuwa muwazi sana.

Nijuzeni waungwana maana sometime huwa nabaki kucheka tu kwa jinsi nilivyoichukulia lile jambo na maisha yetu waswahili ya kila siku.
 
Ilikuwa ni mtiti mkubwa sikuwahi kuona. Ustaadhi mmoja maeneo ya dodoma alimkoromea mtoto wa jirani -mtoto wa mpangaji mwenzake-kisa kwanini yule mtoto aliyatia kidole maji yalokuwa yametengwa kwenye jiko la jirani huyo. Ilianza kama mzaha wakati ustaadhi akitoka nje kwenda kuoga huku mkewe akiwa na ndoo tayari kuyapooza maji ili mumewe akaoge. Ghafla ustaadhi akamuona jirani akipima joto la maji ili ayaipue jikoni ili apashe moto mboga. Baada ya kuona kitendo hicho ustaadhi 'alimkoromea' sana huyo jamaa na aligoma kwenda kuyaoga hayo maji. Na kweli mkewe ilibidi amtengee maji mengine mumewe. Binafsi sikuelewa kabisa kosa la yule jirani ya ustaadhi, hivyo naomba mnieleweshe wanajf, hivi tatizo ni nini kwa kitendo kile? Je kuna uhusiano gani na Mungu kwa kitendo kile maana kuna wakati jamaa alikuwa ana 'link' kutiwa kwa maji kidole na mambo ya kidini, ingawa hakuwa muwazi sana. Nijuzeni waungwana maana sometime huwa nabaki kucheka tu kwa jinsi nilivyoichukulia lile jambo na maisha yetu waswahili ya kila siku.
 
huyo Ustaadh alikuwa na JANABA kwahiyo alitakiwa ajitwaharishe kwa maji yaliyo twahara,sasa kitendo cha huyo mtoto kuyatia maji kidole ni kwamba maji hayo yanakuwa sio twahara tena na hayafai kwa kuoga JANABA/NIFASI ila tu kama ni kuoga ili kuondoa jasho basi yangefaa,kwahiyo Ustadh yuko SAHIHI kutokoga maji hayo,ukitaka kujua mengi muulize huyo ustadh atakufundisha Uislamu na utamuelewa.Nalog off
 
ndo mara ya kwanza kusikia

aisee nilishangaa sana mkuu, hiyo kitu mi pia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona hiyo kitu. Washawasha ameongea ila naona ameshindwa kuongea kwa lugha nyepesi, ameongelea kwa lugha ya kidini zaidi
 
unaposema janaba una maanisha nini? unaweza ukatumia maneno ya kiswahili mkuu au kuelezea scenario inayoendana na uswahili wetu

ustaz yupo sahihi! Janaba ni ile hali baada ya kukutana na mwanamke kimwili! Sasa ili aendelee kuwa msafi kwa ibada inabidi aoge "janaba" kwa maji ambayo hayajaguswa na yeyote wala yasiwe na najisi.. Kama unaswali uliza ucogope
 
aisee nilishangaa sana mkuu, hiyo kitu mi pia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona hiyo kitu. Washawasha ameongea ila naona ameshindwa kuongea kwa lugha nyepesi, ameongelea kwa lugha ya kidini zaidi
JANABA:
Ni tendo la kutoka kwa manii(sha hawa)iwe kwa kumuingilia mtu/mnyama mbele au kwenye tigo,kutokwa na sha hawa kwa njia isiyo rasmi(kuota/kujichua),kuingiza japo kichwa cha uume katika u chi wa mtu/mnyama,tendo hili kwa mwanaume yeyote atakayetokewa/atakayefanya kitendo hiki anatakiwa akakoge JOSHO LA JANABA kwa maji safi.
kwa mwanamke anapoingiliwa na mtu/mnyama katika sehemu zake za siri aidha mbele/nyuma hata kikiingia kichwa cha uume ni lazima akakoge JOSHO JANABA kwa maji safi.

SIFA ZA MAJI SAFI:
Yawe yanayochuruzika kutoka katika bomba/mvua,
Yasiwe na ladha,
Yasibadilike rangi,
Yasiwe na najisi ndani yake. NAJISI: damu,matapishi,ma vi,mkojo n.k
Ila maji ya bahari/mto/ziwa ni twahara(safi) unaweza ukajisafisha nayo kwa kuoga ndani yake au maji yanayozidi ndoo 12,maji hayo mtoto anaweza akayachezea/akayatia vidole kadri awezavyo bila matatizo.
Ila maji chini ya ndoo 12 ukifanya hayo ya hapo juu yanakuwa hayafai kuoga maji hayo.

NIFASI:
Mwanamke yeyote ambaye amejifungua anatakiwa akoge josho hili kwa maji niliyoyaeleza hapo juu hapo juu.
Kama una maswali zaidi unaweza ukamuuliza Muislamu ambaye anayeijua dini yake vizuri ambaye yuko jirani nawe,bila kusahau mimi pia.
M/mungu ndiye anayejua zaidi.
Nalog off
 
unaposema janaba una maanisha nini? unaweza ukatumia maneno ya kiswahili mkuu au kuelezea scenario inayoendana na uswahili wetu

JANABA:
Ni tendo la kutoka kwa manii(sha hawa)iwe kwa kumuingilia mtu/mnyama mbele au kwenye tigo,kutokwa na sha hawa kwa njia isiyo rasmi(kuota/kujichua),kuingiza japo kichwa cha uume katika u chi wa mtu/mnyama,tendo hili kwa mwanaume yeyote atakayetokewa/atakayefanya kitendo hiki anatakiwa akakoge JOSHO LA JANABA kwa maji safi.
kwa mwanamke anapoingiliwa na mtu/mnyama katika sehemu zake za siri aidha mbele/nyuma hata kikiingia kichwa cha uume ni lazima akakoge JOSHO JANABA kwa maji safi.

SIFA ZA MAJI SAFI:
Yawe yanayochuruzika kutoka katika bomba/mvua,
Yasiwe na ladha,
Yasibadilike rangi,
Yasiwe na najisi ndani yake. NAJISI: damu,matapishi,ma vi,mkojo n.k
Ila maji ya bahari/mto/ziwa ni twahara(safi) unaweza ukajisafisha nayo kwa kuoga ndani yake au maji yanayozidi ndoo 12,maji hayo mtoto anaweza akayachezea/akayatia vidole kadri awezavyo bila matatizo.
Ila maji chini ya ndoo 12 ukifanya hayo ya hapo juu yanakuwa hayafai kuoga maji hayo.

NIFASI:
Mwanamke yeyote ambaye amejifungua anatakiwa akoge josho hili kwa maji niliyoyaeleza hapo juu hapo juu.
Kama una maswali zaidi unaweza ukamuuliza Muislamu ambaye anayeijua dini yake vizuri ambaye yuko jirani nawe,bila kusahau mimi pia.
M/mungu ndiye anayejua zaidi.
Nalog off
 
ndo mara ya kwanza kusikia
We si ndiye yule Mmarekani mweusi anayeigiza filamu? kwa nchi yenu kweli huwezi kujua hili kwasababu mnakoga katika mabomba ya mvua,kidding right,
Mkuu inaonesha hujakulia mazingira ya waislamu,ila jibu liko hapa teyari.Nalog off
 
Kwa lugha za mitaani "kutia kidole" ni kuchovya kidole kwenye tiGo, lakini kwa huyu ustadh nahisi ni suala la watu wengine kuugua ugonjwa wa "cleanliness maniac". Wanakuwa wasafi mpaka inakuwa ugonjwa, kwa hivyo mtu yeyote, hata angekuwa mke wake, angetia maji kidole angehisi yamechafuliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom