Aah Lulu...! Angalia marudio ya kipindi cha 'mkasi' cha salama EATV kiko hewani muda huu.

Fisherscom

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,763
764
Kwa wale walio jirani na tv hivi sasa angalia Eatv muda huu mahojiano kati ya Salama na Lulu. Mtoto mdogo mambo mazito.
 
Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu.
Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon
 
Kanajishaua sana sasa atakiona kumbe ndio alivyo kuwa anajibu kitoto kweli na picha zake za utupu bado.
 
helo...guyz...huyo lulu 2memxoma kwenye mkas lakn twatakajua huko polis mpango mzma inakuaje?
 
Yap mahojiano yanarudiwa as if ilijulikana before baada ya kanumba kuhojiwa then lulu.
Binadamu wote ni blind hatujui nini kinakuja soon
Ni kufanya yaliyo mema sababu hatujui siku wala saa. Hakika dunia tambara bovu!

helo...guyz...huyo lulu 2memxoma kwenye mkas lakn twatakajua huko polis mpango mzma inakuaje?
Kama unavyojua issue za polisi mkuu haziendi haraka namna hiyo. Ni kusubiri tu...
 
Back
Top Bottom