Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,520
- 764
Katika hali inayotia simanzi,dada mmoja Chuo Kikuu Cha Arusha ameaga dunia kwa ajali mbaya ya gari.Ambapo taarifa za awali (zisizo thibitishwa) zinaonyesha gari lilikuwa linaendeshwa na mumewe.Jana jioni mhitimu huyo mtarajiwa alionekana akifanya mazoezi ya kuvaa joho na kumatch.Mahafali ya kupata Degree yatafikia kilele hapo tarehe 2.Dec,2012 Chuo Kikuu cha Arusha..Mwanadam hana uamuzi na uhai wake,,Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe