Aaarrrrrrggrr nipokeni, walitema mate chini, hata Masai hawamtaki JK,

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,646
16,265
Paaaaaaaap hadi kwa Wapendwa JF, allow me to be with u but not with JK, nilikuwa na wamasai nikiwa safarini Loliondo, nikawauliza vp uchaguzi mtampa nani kura bila kuchelewa wakatema mate chini, na mikunjo usoni, mmoja akasema heroo, najua hii Jakaya naona sisi laiyoni, nachoma boma setu na mama setu naaibishwa, akatema mate tena chini akitaka kula mori, macho yakawa mekundu, akasema wee ngoja tu, yaani maarabu natuonea, mmmh, aaaaaaaarrrrgggggrrr, thanks
 
sasa mbona ndugu zao walimchagua huyo huyo ????

lakini karibu :welcome::welcome::welcome:
 
sasa mbona ndugu zao walimchagua huyo huyo ????

lakini karibu :welcome::welcome::welcome:

Loliondo hapendwi JK nilikuwa nafanya tour Serengeti, kupita Loliondo nikapata habari hizi live, na wamasai wengi wana hasira nae, ila sijui kwa nini matokeo yanaonyesha ETI WALIMPA KURA
 
No mkuu Katavi, mm Mwiraq, somali like, tall 6.3ft ,75% white skin, strong, nywele za kiiraq( softy kama paka), think tank & CHADEMA damu, nyama & mifupa, i will hold the name till we will get a fairly elected president, so i am a shadow Prezidaaaaaa baptized myself, kanyaga twende, aluta continua, with tough stand sihongeki die with truth, thanks
 
welcome Mr. President......
napenda hiyo intoduction yako safi sana......
eti nachoma boma setu na mama setu naaibishwa,
hahahahahahahahah lol
thats cryz...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom