Aaaaaargghhhhh!! uchafu mtupu na hizi toothpick zenu...

ustaarabu wa kutumia toothpick ni mara baada ya kula chakula,kufanya shughuli hiyo hapo hapo mezani endapo hakuna nafasi ya kuswaki kinywa (kama uko hotelini,ama kazini). wakati wa kuchokoroa meno, mkono mmoja ufunike kinywa wakati mmoja unafanya uchokorozi (unaweza kwatua jino kinyama kikamrukia jirani yako jichoni,lol! ama ukachokoza saliva buds mate yakaruka kama bomba! ni tabia mbaya kutembea na toothpick mdomoni kila mahali kama rambo kwenye texas ranger,lol

wadau upi ni ustaarabu sahihi wa kutumia toothpick?
 
aisee kn mijitu ya hovyo sn UTAKUTA MKO KWENYE DALADALA AU KWENYE MKUSANYIKO WA WATU LIJITU LINAANZA KUFANYA KHAAAA KHAAAAA KHUUUU UTASKIA TWAA KOHOZI LANJANOOO! kha yn unaweza kumnasa kibao cha macho
 
unaijua toothpick ww,..au umezoea kuchuma majani yaliyokojolewa na mbuzi ndio unagongea meno...au unaitaka ile toothpick kubwa?[QUOTE=Tbag Hatari;2537519]mshamba shangazi yako, na hizo stick utachokonolewa sana mwaka huu, sura mbaya kama JK,MPSSXXYYY
[/QUOTE]

senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 2nd September 2011
Posts : 87
Rep Power : 21

Acha maneno makali wewe bado sana unaweek tatu tu..Je ukimaliza mwaka hapa JF si unatumaliza wote kwa matusi..Muungwana ukubali kukosolewa.Kuwa Muungwana eeh..
 
UMEONA EEH namrekebisha huyu ***** anabisha wakati mi ndo kituo cha kwenda home, mijitu mingine bwana..masaburi yao meusiii

mkuu punguza jazba amekuelewa!
back to the topic!
inaboa sana,nipamoja hizi...
1.mtu anakula msosi halafu anatafuna kama paka!
2.unakaa na mshikaji gheto(room) jamaa kila mara anavaa nguo zako bila ruhusa!
3.mtu anakuja gheto ananuka miguu halafu anavua viatu harufu inatoka mbaya!
4.mtu anakula huku anaongea ongea tu halafu mavyakula yanazagaa mdomoni!
5.mnapiga story mtu anafika halafu anadandia mada nakujifanya anajua story!
 
senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 2nd September 2011
Posts : 87
Rep Power : 21

ooooggh...omg!!!scary!!!na huo mwili babu nimeacha kaka...nimekua mpole, uyo boya tu alinichanganya, walau angekosoa alafu akatupia kamchango..ila mm nimeelewa kaka...lmaoooooooooooooo!!!Acha maneno makali wewe bado sana unaweek tatu tu..Je ukimaliza mwaka hapa JF si unatumaliza wote kwa matusi..Muungwana ukubali kukosolewa.Kuwa Muungwana eeh..[/QUOTE]
 
[QUOTE

lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa


2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu

3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope

4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena

5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman

6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutap.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?[/QUOTE[/QUOTE]

Hahahaha jamani mimi hao watu hunikosesha kabisa apetite.
 
Acha hiyo kuna wale unakuta kasimama anajichitoa mnato wa chupi makalioni na kuibandua bandua

Na wale unakuta jitu limeingiza mkono sehemu zake za siri lajikuna kuna alafu anakuja kukusalimia

Na wale wanaojichokoa chokoa makamasi kuyachezea na anaangalia huko na huko kisha analamba

Hiyo moja ilinipata nasubiri chips mayai mara muuza chips kapenga bonge la kamasi aalafu akashika yai na kulivunjia kwenye kikaangio basi lile kamasi na yai vikachanganyika

Au ushakutana na hii msela unaishi nae kama leo ijumaa kapiga bia safari ya moto kama 6 hivi na huku akivuta sigara aina ya nyota mkahama kijiwe njiani anakutana na wauza pweza akabugia wakati anamalizia akapita muuza mayai ya kuchemsha akachukua mawili akala. Alafu asubuhi anakuongelesha kwa kukusogelea puani "Bro,saa ngapi"?

Aggggggrrrrwwwwww ptuuuuuuuuuu!

Nachukia kuona wachokonoa pua...

Anayetembea na toothpick mdomoni , hachokonoi ila imeganda mdomoni kama cigar!

Anayecheua kwa kelele

Kingine kinachoniboa anayejamba kimyakimya mkiwa wawili tu kwenye gari....yaani naboreka inabidi nipige simu niongee mpaka kijambo kiishe..dreva wangu ana mchezo huo alafu anaongeza AC ....ptuuuu!!
 
Back
Top Bottom