aaaaaaaaaarrrghhh...hili tangazo la startimes linaboa bana!!

dah.. Unajua afadhali nyie mnaoliona majumbani, mi ninakafremu kangu pale mwenge, basi mnakajua kale katv pale mataa. Hawaishi kukaweka. Kanaboa.. Kwanza ting ndio nn? Au wana advtse x-mass ya 2013

ting na startimes
ni tofauti
 
Back
Top Bottom