Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Gari zote zinazouzwa hapa ni za 2007 kushuka chini , yani hakuna gari ambayo ni current , Yan imekuwa made mwaka huu nazani ndo itakuwa nzuri . Kweli wa tz wengi tunatumia gari takataka za mda mrefu ivo
 
Hii mpk 20 uza
Gari nzuri na ziko kwenye market Sahv especially hii 4cylinder
Ngj nitacheck na wadau wangu kama akitoka mtu serious Ntaku link naye
Mm sibahatishagi biashara

Ova
 
Ndicho anachokitafuta huyu mkuu? Yani ununue Harrier second generation zenye 2AZ vvti(2003-2010) kwa 14m?...Na zile 1st generation zenye 5S engine(1998-2002) utanunua bei gani sasa???
.
Watu wengine huwa wanawatafuta matapeli kwa lazima.
Hii utaiuza tu
Miezi miwili iliyopita nlimchukulia jamaa yngu kwa 20m ila kwa mbindeee

Ova
 
tusiingilie Mada ya Jamaa maana ya uuzaji Gari lake Mada zinazohusu uagizaji wa Magari tumezijadili sana mm nimetoa mfano tu wa option za kununua kununua gari ya mwaka huo km unataka Luxuriy utapigwa kwa kuwa unaangalia namba angalia Make, Mile age na quality
  • Hiyo (2007 yenye 60000km) nimeilinganisha na Gari ya mleta Mada ya mwaka 2007 ya 70000km) ambapo tofauti ni zaidi ya 7M
  • fungua BeForward na wenzao wote kaangalie Harrier za 2006 - 2007
  • Manunuzi na usafiri 13 CIF$5,607
    (Approx. Exchange Price: TSh 12,908,449)Payment must be made in USD
  • TRA 6M
  • Bima na vingine 1M
  • Ndio maana nikasema kuna Gari za 17M mpaka 14M kwanini ukabamizwe zaidi ya 20M nimeshapitia huko nikagundua kuna wenye hela wanunue tu lkn mapka mwaka 2020 wako watakaopata kwa 12 hizo gharama za ziada mpaka 30M unaweza zikwepa ukapata Harrier 2
TRA 6M na kikotoo kile kile au kipo kingine? Mkuu utuasidie maana huwa zinasoma juu kuliko bei
 
Mkuu Ukwaju wacha nikueleweshe maana hii ni field yangu.
.
Make: 2006 Toyota Harrier 240G
.
CIF ~USD 5600
Tax ~ 12.5m (roughly at minimum cost)
Shipping Line charges ~ TZS. 231,000/=
Port charges (Removal & Handling) ~ TZS. 400,000/=
Clearing costs (BE FORWARD OR SBT) ~ TZS. 275,000/=
Vehicle Registration TRA ~ TZS. 500,000/=
Number Plate ~ TZS. 40,000/=
Insurance (Comprehensive) ~ TZS. 360,000/=
.
TOTAL COSTS: TZS. Approx 27m
.
*NIKO TAYARI KUREKEBISHWA*
Exactly km ulivokadiria mkuu.hapo kwenye bima ndio umeweka kiasi kidogo.hiyo ni bima ya Ist.
 
YOM: 2005
Engine: 2TR
Capacity: 2670cc
Petrol
Mileage: 96,000Kms
.
Location: Kibamba - Dsm
.
Price: TZS. 40m
.
Call: 0719 143475
IMG-20191202-WA0024.jpeg
IMG-20191202-WA0026.jpeg
IMG-20191202-WA0023.jpeg
IMG-20191202-WA0025.jpeg
IMG-20191202-WA0020.jpeg
IMG-20191202-WA0022.jpeg
IMG-20191202-WA0021.jpeg
IMG-20191202-WA0019.jpeg
 
Mods mmeniharibia heading yangu, hii itaniharibia soko kwa watu makini.
"A2005....." NAOMBA MAREKEBISHO PLEASE.
.
Vile vile mimi nilitumia CAPITAL LETTERS TU kwenye heading yangu, nyinyi mmefanya mnavyotaka. Mnatu-discourage kwakweli.
.
Kuuza gari ya milioni 40 inahitaji umakini na ni kazi ngumu.
.
.
Cc: Moderators
 
Mods mmeniharibia heading yangu, hii itaniharibia soko kwa watu makini.
"A2005....." NAOMBA MAREKEBISHO PLEASE.
.
Vile vile mimi nilitumia CAPITAL LETTERS TU kwenye heading yangu, nyinyi mmefanya mnavyotaka. Mnatu-discourage kwakweli.
.
Kuuza gari ya milioni 40 inahitaji umakini na ni kazi ngumu.
.
.
Cc: Moderators
Mods mda mwingine huwa wapuuzi sana.yaani wanajifanya wao ndio wanajua kutunga kuliko hata wewe mwenye mawazo..
Hapo wanafell sana maana wanajifanya wao ndio wanakuwazia nini cha kuandika kwenye Uzi wako au wanawaza zaidi yako wewe mleta Uzi...
 
Sometimes hawa Moderator huwa wanaudhi sana. Sijui kwa nini? Kuna vitu wanafanya ni kama ubabe sijui au kwa sababu forum ina watu wengi hata 'wakikufyndukila' wewe haiwapunguzii kitu sijui yaani very boring@Manumba,
 
Sometimes hawa Moderator huwa wanaudhi sana. Sijui kwa nini? Kuna vitu wanafanya ni kama ubabe sijui au kwa sababu forum ina watu wengi hata 'wakikufyndukila' wewe haiwapunguzii kitu sijui yaani very boring@Manumba,
They simply do not care.
.
Inachefua sana mkuu bampami
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom