A Zambian student in China has been killed by chinese Nationals for dating a Chinese woman

Kaabad

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
375
473
Mwanafunzi wa Zambia nchini China ameuawa na Rais wa China kwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke wa China.

Chrispine Mwale (25) aliyekuwa mwanafunzi wa uhandisi katika nchi hiyo alipigwa hadi kufa siku ya Jumatatu asubuhi baada ya kukukutwa kwenye nyumba ya mwanamke huyo.

Inasemekana kwamba Mwale aliamua kulala kwa rafiki yake huyo wa kike baada ya kutoka klabu usiku wa Jumapili.

Watu wanne wenye asili ya China walionekana wakiikaribia nyumba hiyo na walimburuza Mwale kutoka ndani hadi nje ya nyumba na wakaanza kumpiga kwa mabomba ya chuma na mawe mpaka pumzi yake ya mwisho.

Kwa mujibu wa shahidi na rafiki wa karibu wa Mwale amewaambia watu wa usalama wa Zambia kwamba ingawa marehemu aliwaomba sana lakini watu hao walizidi kumshambulia.

========================

A Zambian student in china has been killed by chinese Nationals for dating a Chinese woman. Chrispine Mwale 25 a student studying Civil engineering in that country was beaten to death on Monday mid_Morning after he was found in a woman’s apartment.

It is said that Mr. Mwale spent a night at her girlfriends place after clubing on a Sunday night. Four Chinese nationals approached the Apartment and dragged Mr. Mwale out of the Apartment and started beating him with iron bars and stones until his final breath.

According to an eye witness and a close friend to Mr. Mwale has informed Zambian Watch that despite him pleading, Chinese men insulted him.

“We went out drinking on a Sunday night as a group. After our drinks we got on a taxi heading to our apartment. On the way Mr. Mwale’s girlfriend said she wanted to spend a night with him. That’s how they left and I was only called by the girlfriend in the morning to come and save my friend” he stated.

“I rushed to the scene and only found four Chinese men beating and insulting him that their is no black man allowed to date their people. They insulted him that Africa was too poor and they would not allow black beings to be raised in their country. Despite pleading, they hit him with iron bars and stones until his final breath ” a friend said.
#AIIH News
 
Mkuu umasikini ni mbaya sana. Afrika tunabaguliwa kwasababu ya umasikini wa akili na pesa.
Lakini unaambiwa ndio bara tajiri kuliko yote kwa mali ya asili. Lakini tumewapa kwa mrahaba wa 3% kwa miaka mia.

Vijana wetu wanaopata bahati kufika Asia kwa ujumla (China, India, Arabuni nk.)wajichunge na kujizuia na hao mabinti. Otherwise wata face their death
 
Kuna mdada mchina pale chuoni alikua chakula ya jamaa
 
mbona Zambia wameandamwa Sanaa na wachina mwaka huu
yaani China na Zambia
wazambia na wachina
mara uwanja,polisi,migodi mpaka huko tenaaa
nadhani koloni la kwanza la china Africa litakuwa Zambia RASMI hiv punde
 
Hivi vijamaa kwanza aura zao ngumu Kama zimeokwa kwenye jiko la mkaa, vikija huku vinajiita rama, juma.
 
Back
Top Bottom