A word of advice kwa wanawake wote wanaojidai wanapenda wenza wao waweje, huku they bring nothing to the table.

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Unakuta mwanamke anademand sijui nataka mwanaume wa aina hii sijui awe hivi , mara awe anajiweza, sijui msomi, ana nyumba yake, ana kazi nzuri, anajua kutake care n.k Yaani list ya demands ni ndefu, lakini ukicheki what she brings to the relationship is nothing, nada, zero, ziltch.

Kwa hali hiyo you'll keep searching mpaka basi. Hata hao wanaume unaowataka wakikuevaluate na kuona you bring nothing to the table except an oversized purse/bag and a p*ssy full of headaches. Tegemea kuchezewa tu.

Badilikaneni. So ukitaka mtu mwenye vigezo fulani, be prepared to meet that person halfway, sio una demand tu huku you have nothing to give zaidi ya mwili wako.
 
Lakini mwili wangu si ndo starehe yako?wewe bwana mimi ni msaidizi tu,hata nkichangia zaidi yako no one will recognize my effort,wanaume wenyewe nyinyi wa kibongo misimamo mikali sana
 
Sasa unataka tubring nin kwenye hiyo table ......... inshort nitatoa panapobidi tuuu and not otherwise , nyie si ndo mnajiita vichwa vya familia !!!!! Pambaneni
 
Lakini mwili wangu si ndo starehe yako?wewe bwana mimi ni msaidizi tu,hata nkichangia zaidi yako no one will recognize my effort,wanaume wenyewe nyinyi wa kibongo misimamo mikali sana
Kwani starehe napata mwenyew??
 
Remove sex from a relationship u gonna realize MOST women have nothing to offer, remove money from relationship MOST women see no reason to date!
 
Lakini mwili wangu si ndo starehe yako?wewe bwana mimi ni msaidizi tu,hata nkichangia zaidi yako no one will recognize my effort,wanaume wenyewe nyinyi wa kibongo misimamo mikali sana

Unataka nani aku recognize zaidi ya mme wako.???
 
21st Century men are confused, they want women who can afford themselves, and women who don’t need anything from a man. At the same time they want to be “men” in the relationship, they claim to be heads!! It doesn’t go that way, a head must take care of his woman. The moment she takes care of herself, you are equal and you not guaranteed the last say!
 
Nyie si ndio mnataka haki sawa kila siku mnapigania. Mbona kwenye hili mnataka kukwepa.?
 
Lakini mwili wangu si ndo starehe yako?wewe bwana mimi ni msaidizi tu,hata nkichangia zaidi yako no one will recognize my effort,wanaume wenyewe nyinyi wa kibongo misimamo mikali sana
Wavuna wa skuizi starehe zao ni soap.... tehteehhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom