A whooping 43bn/= to upgrade an airstrip in Sumbawanga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A whooping 43bn/= to upgrade an airstrip in Sumbawanga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Dec 4, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Is this a joke or prank news? We have Rubada folks matching all the way to South Korea to borrow 50 million Shillings to grow food and we are ready to sign of 43 billion to pave a tarmac for flying magic carpets of Rukwa? Kisa eti Waziri Mkuu awe na hadhi ya kushusha Gulf Stream?

  Why not allocate that money to rebuild our Railway System or clean the JKNIA or KIA which are disgusting?

  Yaani ukisikia Amani na Utulivu uliojaa upumbavu ni huu. Serikali ina deni kubwa kiasi haiwezi kulipa mishahara au kutoa huduma za jamii, lakini tunajenga Uwanja Rukwa?

  Why not spend that money to buy 3 thermal generators that can produce a minimum total of 150mw?

  When will people get angry and riot?


  PETI SIYAME in Sumbawanga,
  2nd December 2009
  Daily News


  THE Government estimates to spend more than 43bn/ on the upgrading of Sumbawanga Airstrip in Rukwa Region to tarmac level during next fiscal year.

  The Tanzania Aviation Authority (TAA) Director of Engineering and Technical Services Mr White Majula said here that the government needed adequate funds amounting to 43,035,200,00/- for upgrading runway’s 1,750 metre- long with 30 metre width from gravel to tarmac level to enable aircraft to land throughout the year.

  He mentioned other infrastructure to be upgraded include; taxiway in between runway and apron , modern passengers lounge, installation of sub power station , fencing the whole area and improving sanitation facilities.

  The condition of the airstrip has deteriorated due to various factors including erosion due to heavy rainfall. Mr Majula said funds were urgently needed for major rehabilitation of the airstrip, short of which further deterioration would occur.

  " Upon the completion of the project the airport would expedite the regional socio – economic development and promoting tourism in the Southern Highlands Regions including Katavi National Park in the region.

  “The airport will also ease transportation problems in the area as other local air travel companies would eventually consider introducing routes to and from Sumbawanga Municipality and linking the area to other parts of the country and abroad", Mr Majula observed.

  Mr Majula said process to float tender of the project was progressing as scheduled. He further said that in 2007 the government received a financial assistance from IDA in that line Belva Engineering Company (Tanzania) in collaboration with Sir Fredrick Snow and Partners from England have been assigned since November 2007 to prepare tendering document and carry out Environmental and Social Impact Assessment (ESIA).

  All the documents had been submitted to the Tanzania Aviation Authority (TAA) for further action.

  The government through TAA has already allocated more than 230.3m/- for management of the airstrip including normal repairs of which over 80m/ will be spent on the running of the airstrip while over 100 m/- has been set aside for the routine repair of the runway as 50 m/- will be spent on the purchase of Pick up to ease transport problems.
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sumbawanga ndiko alikozaliwa,na kuishi PINDA!ulitegemea serikali ifanye kitu tofauti na hili?....HELL TO THE NO!

  acha watuburuze!tumezoea
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hicho cha Tabora chenyewe hakina LAMI na hapo ndipo yapo Matanki ya Mafuta. Naombe siku moja inyeshe na washindwe kutua na uwanja wa karibu uwe huko Rukwa. Kwanza wasafiri wenyewe wa Rukwa watakuwa wangapi? Ni sawa na huyu Prof. Mwandosya aliiba mapipa na lami na kuyapeleka Mbeya ambako hadi leo hawajajenga kiwanja na hata akina Precision Air huko hawatui. Sasa hapo unajiuliza hadi kichwa kinauma.

  Ngoja na mie nikija kushika URAIS, ntawawekea watu kiwanja cha ndege cha kimataifa wilaya ya Sikonge na tutatua mie kama Rais na watu kama 50 hivi za huku kwa mwaka. Kama hawasafiri basi ina maana ndege zitakuja tupu.

  Nasikia kingine wanataka kujenga Bagamoyo. Yaani siku Watanzania wataamka, wataenda hadi kung'oa minara kwenye makaburi yao.
   
 4. C

  Chief JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Sadly, we need to go to Kenya to learn this.
   
 5. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Then what....Mpaka leo unashangaa ujinga wa serikali...kazi kweli kweli....
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Na hii ndo imetufanya watanzania tusiwe na tofauti kati ya wasomi na wasio kanyaga darasani. Yaani tatizo letu ni prioritization, unashindwa kuelewa iweje ukajenge uwanja wa ndege sumbawanga wakati JNIA na KIA bado vina matatizo na serikali hiyo hiyo inasema haina pesa, huu ni ujinga.
   
 7. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Rev. Kishoka,

  Priorities zetu ziko mrama mno. Sisi ni matumizi, matumizi na matumizi. Hizo pesa zingetumika kwenye investment ya maana au kusaidia ajira za vijana, baada ya miaka mitano, tungeweza kupata kodi itokanayo na hizo pesa hata mara tano.

  Lakini sisi tunatengeneza uwanja kwa ajili ya mtu mmoja ambaye akipoteza madaraka au akifa, huo uwanja utageuka shamba la kulishia ng'ombe. Hao wanaoamua hivyo sio Machinga, ni wasomi wetu!
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hapo umenena, mie huwaga sishangai tena hata nikiona uwaziri wa feza kapewa ibilisi a.k.a lucifer , tulizaliwa ili tuuliwe na ccm. nishatenga mshiko wa kuchimbiwa kaburi langu jast in kesi nikifariki ghafla.
   
 9. R

  Ronaldinho Member

  #9
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaazi kweli kweli,bado Shein naye adai uwanja wa ndege,mwanasheria mkuu,Jaji mkuu duh!labda na bei za nauli ya ndege itapungua!au ndo tutajisifu kwenye mafanikio ya miaka kumi kuwa tumeweza kujenga viwanja vipya vya ndege na bandari ya kisasa bagamoyo?!?!
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mchungaji Kishoka,

  Mbona unakuwa na roho ya korosho ndugu yangu? yaani uwanja wa Sumbawanga ukiimarishwa japo kwa ka-lami tu ndio inakuwa nongwa sasa unataka kila kitu kizuri kijengwe Arusha na Dom na Dar pekee?

  Huo ulinganifu wa maendeleo utapatikana lini katika nchi hii? wana-Rukwa ni wachapakazi sana na wamekuwa wakiilisha Tanganyika miaka nenda rudi lakini hata barabara nzuri ya lami tu imekosekana. Saa zingine tuwe tunatoa hoja bila ya upendeleo na kuzingatia pia kuwa nchi yetu ni kubwa na kuna wananchi wengine ambao nao wanahitaji maendeleo.

  Mwisho huyo Mheshimiwa Mizengo Pinda hatoki Sumbawanga ni mtu aliyezaliwa na kuishi/kusomea wilaya ya Mpanda.

  Amani.
   
 11. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Acheni wajenge. Kumbukeni kuna mawaziri wakuu wawili wa zamani (JSM na FTS) kwa kipindi tofauti waliwahi kuwa hatarini baada ya matairi ya ndege kutitia kwenye matope. Juzi watu walihoji Muungwana kuwa hatarini kwa kupanda 'bembea', sasa iweje leo usifikirie maisha ya Watanzania wenzako wenye shida ya usafiri na uzione hizo hela ni thamani kubwa kuliko maisha? Kwani anayeenda Rukwa ni Pinda pekee? Muungwana haendi? Hakuna watu wengine wanaoishi huko? Acheni ubinafsi.
   
 12. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Akifa Pinda watu wote wa Rukwa watakuwa wamekufa? Very sad, Mkuu I didn't expect this from you!
   
 13. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
   
 14. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #14
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Yaani hii nchi balaa.Hawa viongozi wetu wanaona raha kujaza maviwanja ya ndege wakati uwanja wa Mwl Nyerere wenyewe hauna viwango vya kimataifa.Ni kajiuanja hakana hadhi ya kuitwa uwanja wa kimataifa.Tunahitaji kuwa na vitu vichache lakini vyenye ubora kuliko kuwa navyo vingi visivyokuwa na ubora.....Huu ni mwendelezo wa shule za kata.
   
 15. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Huu lazima utakuwa utani. sitaki kuamini kuwa katika vipaumbele vyetu kwa sasa cha kwanza ni Uwanja wa ndege Rukwa. Mbona hakuna suluhisho la kudumu la umeme, maji, ambavyo stori ni hiyo hiyo kila mwaka? Hata wananchi wa Rukwa ungewauliza kama uwanja wa ndege unawasaidia vipi kwa sasa, bila shaka jibu ni wazi.
   
 16. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Sumbawanga hakuna usafiri wa uhakika kwa treni, barabara, wala ndege. Ni afadhali Mtwara kuna uwanja wa uhakika , barabara inatengenezwa, usafiri wa meli upo. Ni afadhali Kigoma kuna usafiri japo wa treni. Miundombinu ya mawasiliano inapojengwa sehemu yoyote Tanzania tufurahie, hakuna nchi, mkoa au wilaya inayoweza kuendelea bila mawasiliano ya uhakika. Nimesoma Sumbawanga, ninajua maumivu ya shida ya usafiri ya wakazi wa huko.
  Uwanja huu utakuza shughuli uchumi za mkoa mzima wa Rukwa, utarahisisha usafiri kwa watalii na wafanyabiashara waliokuwa wanakwamizwa na adha ya usafiri wa uhakika.
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Can we really laugh at Gbadolite? Isn't this our very own version?
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  mimi nakujua sumbawanga kuliko wewe
  uwanja wa ndege upo na unatosha,
  kinachotakiwa ni barabara au reli..
  Watanzania wangapi wanapanda ndege????
   
 19. A

  August JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe, na ningependa kuona Rukwa ina ngara zaidi ya ilivyo hivi sasa, lakini ilitufikie huko cha kwanza ni barabara ndio ita stimulate uchumi na maendeleo mengine, na si uwanja wa ndege ambao utatumiwa na wateja 50 tu.
  Barabara myhimu ni ya mpanda, tunduma na ya kwenda kigoma kama inawezekana
   
 20. M

  Mende dume Member

  #20
  Dec 4, 2009
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lack of visionary leadership! huo ndo uzembe wa kufikiri.

  Imagine kuwa unaambiwa 10 b, can solve umeme problem and the governemnt doesn not have that money, wakati kuna bilion 1 iliyogawiwa mikoani for SACCOS unstratergically badala yake imeathiri inflation na prices.

  How can the government bow to IPTL for power, je IPTL wana mtaji mkubwa kuliko serikali? Sasa ni hilo la Viwanja Sumbawanga! Hii itatuletea ukabila, maana kila zone itahitaji kama sio Rais basi PM

  wa are doommed! nadhani wanatuona vikatuni fulani, got no brain for public consumption.
   
Loading...