A UK investors looking for Partners in Tanzania

bfexjan

Member
Mar 11, 2012
64
14
Habari Wakuu!!

Anybody interested can go for this.

There are some business partners in UK intending to invest in Tanzania so they are looking for local business partners ; Areas of interest are - real estate development, construction, mining, oil and gas, airline and various trading. if you think you have solid background and idea of making good profit in any of the mentioned business sector in your country, kindly write for possible business co-operation. More so, these Investors are ready to facilitate and fund any business that is capable of generating 7-15 % Annual return on investment.

You can contact humble2080@yahoo.com
 
Hapana mkuu hii email ya muhusika ambaye ameombwa kutafuta mtu/watu ili wawasiliane moja kwa moja...
 
Mkuu heshima mbele,

Sasa kwani hao investors hawafahamu au wewe hufahamu kwamba London tuna Tanzania trade centre ambayo angalau itawapa ideas au kupitia TIC ambapo watapata information zote.

Unafahamu kwa sasa watanzania tuna mafikira mengi juu ya kuondoa mambo kama haya yasiyoeleweka.

You can't be serious.
 
Jamaa yangu anasema mafisadi wengi watoto wao wako nje na wengine walishindwa masomo wanabangaiza tu. Naona sasa wengine wameamua kuendeleza fani ya wazazi wao ya ufisadi, like son/daughter like father/mother
 
Helloo, Kamaa, wapo serious na ni wa kweli please contact me through alexsemsella@gmail.com Ninaviwanja zaidi ya 20 Handeni kwenye maeneo yafuatayo; Kilindi,Komkonga,Odijava Pangasaru. . Kama upo serious na hao watu wapo serious nicheki kupitia hio email ilinikutumie PMLS zangu ''Primary Mining Licences''. Kumbuka kuwa nimesema ni zaidi ya viwanja 20 ambavyo namiliki handeni. Ahsante
 
viwanja vya madini gani?
 
Back
Top Bottom