A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Soma vizuri ni mojaa ndio anakaa daraja 2 banjoo najua anakaa sanawari ya juu
Hivi ule msururu wa vibanda vyake vya udongo bado vipo? 😂 Miaka ya 2002 nilikuwa nakuja hapo usiku kwa manzi fulani nikitoka saa saba Banjoo alinitafutia usafiri.
RIP Amina
 
Kwenye simulizi yako umeweka too general ngoja na mimi nielezee kwa ufahamu wangu kuhusu chuga gangsters:
Sadick Mkindi ni legend mtoto wa mzee Mkindi familia maarufu na tajiri Arusha huyo ni mdingi alifanya uhalifu in late 80’s na early 90’s
Majambazi walikuwa kina Chonjo maarufu kwa wizi wa magari, Bob Sambeke, Alex Massawe, Nyari....
Ila kuna hawa magangster wezi na wababe wa mitaani
Alikuwepo Hamis Mtotoo alikuwa anaibia sana wazungu aliuliwa na polisi relini watoto wa Pangani na Bondeni tunamjua vizuri.
Alikuwepo nyokaa alikuwa mwizi hatari katesa sana mianzini, sakina, ilboru na sanawari aliuliwa na polisi sakina
Alikuwepo Tumboniiii alitesa ngulelo, kimandolu kijenge nafkir na yeye aliuliwa na polisi ngulelo
Ngarenaro alikuwepo Mbalulaa alikuwa na mbio hatari akikwapua humshiki
Kuna kundi la wababe hawa hawakuwa wezi ila wababe hatari waliwakosesha raha watu sehemu za starehe kama mawingu club kijenge,roasters garden uzunguni, crystal club, metropole, sabasaba nk miaka ya mwishoni 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000
1. Iddi Mkuluuu (RIP) na kundi lake la Kaloleni gym,huyu bro alikuwa baunsa bonge la mtu mbabe hatari
2. Farijala Athumani(Papaaa) mtoto wa Ngarenaro bdae kijenge alikuwa anapiga kick boxer hatari alikuwa akikupiga kichwa lazima uanguke aliuliwa kwa kuchinjwa pale mtaa wa Jaluo
3.Fredi Jebi na Kabelo walikuwa watoto wa line police fire wababe walikuwa wanapiga gujuruu sio za nchi hii waliwatesa mno watoto wa kishua mjini kina Soican, Yusuph Mirambo, Valee Tango, Alkesh etc. Fredi Jebi alikufa kifo cha ajabu mguu uliota tende na ndio ukawa mwisho wa ubabe wa Kabelo
4.Baba Kisioki “babaaa” alkuwaga bondia na mbabe huko sinoni, lemara, njiro na kijenge ckumbuki nini kilimuua
5.Kingkola alikuwa mbabe hatari alikuwa anchezea timu ya Ngarenaro inaitwa “wayamkali” mpira hauishi kama kingkola hajapiga tiktatka
Wengine ni kina Omary manjiwaa, sele kishugaa pia kulkuwa na dogo aliitwa Regaa au Julius mambwaa alikuwa kapurwa lkn mbabe hatari alikuwa anatembea na mbwa zaidi ya 20.
Makundi maarufu yalikuwepo ka Kossovo chini ya Festo watoto wa Kambi ya fisi, maghoro na makao. Nako2Nako watoto wa kaloleni “Ololoo”, wakudisi watoto wa bongonyoo na Ungaltd kulikuwa na watoto wa blood ring Esso, watoto wa cheka ung’atwe Sombetini. kuna watoto wa Sing’isi walikuwa wanakaa sana tengeru walikuwa ni kwikwi tesa sana watu waliokuwa wnaenda beach party Duluti
Siku hizi haya magenge yamekufa ila waliobaki hatari ni vijana wa “tatu mzuka” wako kokote omba Mungu usikutane nao

Kuna wimbo wa Chindo Man uko dedicated kwanza Tumbonii.
 
Halafu majambazi yote yakishatajirika na kustaafu ujifichia kwenye dini na ccm kama walezi au wafadhili wa chama. Zakaria wa Tarime, kitana wa Mwanza. Mtu kama hata amestaafu na alikutenda zamani sasa ndo wakati wa kumlipizia kisasi Ili nae aonje maana huwa wanakua hawana attention yeyeto.

Kitana ana roho mbichi sana.
Miaka ya 2008/10 alikuwa na eneo kule ibanda karibu na ziwani ambapo kulikuwa na nyumba ambayo iko mbali sana na makazi ya watu karibu kanisa na ziwani. Kwa wakati huo lilikuwa jambo la ajabu sana.

Legend has it kwamba jamaa aliwahi sakwa na helikopta.
 
Hivi ule msururu wa vibanda vyake vya udongo bado vipo? Miaka ya 2002 nilikuwa nakuja hapo usiku kwa manzi fulani nikitoka saa saba Banjoo alinitafutia usafiri.
RIP Amina
Alipata pesa alivyotoka magereza na kujenga nyumba yake nzuri,pia kuna mdogo wake na dada yake wote type za ujuaji
 
Mimi nawafahamu hawa.....

Babu nyauu wa Ilboru

Chichkoo wa Kaloleni

Tobii wa watengwa

Umbwa lotuno

Marehemu Nyokaa wa Silent In

Mbadii wa Sanawari

Machokodo wa Namanga-Arusha

Maikoo wa Mtaa wa mavi pale mianzini

Chonjo wa Kijenge juu

Marehemu Kitunguu wa Ngulelo

Hussein Tumbo wa Kaloleni

Banjoo -Sanawari, kijana wa Nyari

Na Madingii wengine....!
Tupe matukio waliyofanya japo moja tu
 
Kuna vitu umeongea vya uwongo sana chusa hajawahi kua kibaka au nyamera,mwale hajawahi kuua mtu wa karibu wa nyari zaidi ya kua mwanasheria wake alipopata kesi...kesi ya mwale ni pesa zilitoka nje ya nchi na kuingia kwenye acc yake.
Banjoi hajawahi kua muajiriwa wa tanzaniteone kaja mererani 2013 kuzama kwenye mgodi wa manjulu.
Moja ni fala tu wala hana ujanja zaidi ya huko mtaani kwao daraja mbili
Chusa huyu mchimbaji kuna mwingine alikuwa makaburi ya baniani.
 
Hv nani anamkumbuka iddy...waliuawa wakatobolewa macho na gesi...
Nani anamjua Frank Lyatuu... aka Mberee
 
Chusa huyu mchimbaji kuna mwingine alikuwa makaburi ya baniani.
Chusa ni huyu aliyetahirika anaishi kwa Mrefu?
Kama ni huyo alihusishwa na mauaji ya Msuya lakini alichomoka mapema
 
Hizo mambo ni za vijijini huko.... Eti unakaba unaenda kwenye kesi kuanzia wakili, mkuu wa wilaya sijui nani... Balozi, diwani woooote ni ndugu zako wa arusha.

Unaleta umafia unategemea ndugu,. Arusha ndogo saana usela wa vijijini tu uliwachanganya..


Njoo ufanye uo usee city centre we ni mwanaume.
Mkuu unaumwa?
Dat wanaume wanakalishwa na wavulana wa miaka 12? Panya road anafunga mtaa?
 
Hiyo ya kumegwa ndiyo ilimletea depression maana unyanyapaa wake ni balaa. Yani hata akiingia club na wenzake anakosa raha watu wanavyomtazama, anahisi kama kuna mahali walimwona akimegwa.
Basi kwao watakua na nyota ya kumegwa,maana mdogo wake nae Ni Punga.Machalii wa Moshi ..... School wanajifiria daily.
 
Mchicha mwiba ndiko Msando alikotajirikia maana alimfundisha michongo ya town na alikuwa mtu wake wa karibu sana.
Na Msando baadae alijitoa kwny firm ya Mawalla,akaanzisha firm yake na aka-weka picha ya Mentor wake Nyaga pale ofisini kwake.
 
Nlimuambia kaacha watoto wawili mmoja mama yake alikua boss brela na mwingine mama yake wanakampuni ya utalii inaitwa mauly tours
Na Nyaga aliwapiga Brela kwa kuwauzia Software isiyofanya kazi kwa Bil 1.Naelewa sasa alikozitoa hizo connection Sasa.
 
Back
Top Bottom