A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

BAVICHA

Screenshot_20220302-114541_Chrome.jpg
 
Angalau aliwashughulikia wakapotea,kuna moja wasiojulikana walikosea tu timing Tarime, kuna moja Mwanza akalipora bilioni 4 kwenye akaunti yake,jingine lilikimbia sauzi,aliyajua majizi yote kwa sababu alikuwa kwenye system na alijua michezo yao hata alivyodili nao alikuwa na taarifa nao wote. Kuna limoja lilimzulumu mjane nyumba Magu akamsaidia kuirudisha nyumba ikihisiwa alishiriki njama za kumuua mume Ili apate nyumba hii nyumba mme aliikopea, michezo yao siku ya marejesho ya riba yanapotea au kuzima simu Ili yapore nyumba.
Mkwere ndie aliyafuga majizi yakawapiga wageni na wabongo pia, huku yakimwaga pesa kwenye muziki. Mengine yalikufa vifo vibaya. Mengine yanajifanya kujifichia kwenye dini.
Angalau jpm aliyatikisa majizi
Yalimwaga pesa kwenye mziki tuliwaita mapedeshee,kumbe majambazi
 
Kuna vitu umeongea vya uwongo sana chusa hajawahi kua kibaka au nyamera,mwale hajawahi kuua mtu wa karibu wa nyari zaidi ya kua mwanasheria wake alipopata kesi...kesi ya mwale ni pesa zilitoka nje ya nchi na kuingia kwenye acc yake.
Banjoi hajawahi kua muajiriwa wa tanzaniteone kaja mererani 2013 kuzama kwenye mgodi wa manjulu.
Moja ni fala tu wala hana ujanja zaidi ya huko mtaani kwao daraja mbili
Nawewe kuna mahali umeongea uongo. Banjoo haishi daraja mbili, anaishi Sanawari pale maduka matatu, amejenga kabisa.

Banjoo alikuwa miongoni mwa manyoka wa Nyari, japo yeye ndio alikuwa kiongozi wa Team yao

Sasahivi ana kijana wake wa kumzaa ni best friend wa mdg wangu, nawafahamu vizuri sana

Huyu Dogo ni mkorofi na mbabe sana kwa wenzake, nahisi atakuja kuwa zaidi ya baba yake au atafungwa jela.

Hayo mengine kuhusu Advocate Mwale ni kweli kesi yake ni ya utakatishaji pesa.
 
JUSTIN NYARI,tushawahi kwenda ofisini kwake kitambo sana tulimpelekea rhodelite aliwaka sana,pesa sasa ikawa mtihani
Akataka tumwachie mzigo,alikuwa dhuluma
Anaweza kupa hela na badaye akakutumia watu wakupore wanarudisha kwake...
Nakumbuka tulipotoka ofisini kwake watu tulinyoosha Nairobi moja kwa moja....
Alibaki nyuma kablow tu


Ova
Hiyo ndio ilikuwa style yake ya kuiba.

Mnafanya biashara mkimaliza anaagiza vijana wake wakufuatilie wachukue aidha madini au pesa. Aliliza sana Wahindi miaka ya 90 na 2000 mwanzoni na ndipo alipopata hela ya kusimamisha ule mjengo.

Tukio lake la mwisho ni la kwa Mtoto wa Benson huyu Mhindi wa Electronics na hakufanikiwa kwasababu Benson alikuwa na Security camera miaka hiyo ameset kwenye campus ya nyumbani kwake, nafikiri kwa Arusha nzima alikuwa nayo yeye pekee na pale AICC miaka ile, kwahiyo alifanikiwa kuwaona akina nyari wakijaribu kuingia getini kwake

Easly, alichokifanya ni kuita polisi wakakamatwa.
 
Kwenye simulizi yako umeweka too general ngoja na mimi nielezee kwa ufahamu wangu kuhusu chuga gangsters:
Sadick Mkindi ni legend mtoto wa mzee Mkindi familia maarufu na tajiri Arusha huyo ni mdingi alifanya uhalifu in late 80’s na early 90’s
Majambazi walikuwa kina Chonjo maarufu kwa wizi wa magari, Bob Sambeke, Alex Massawe, Nyari....
Ila kuna hawa magangster wezi na wababe wa mitaani
Alikuwepo Hamis Mtotoo alikuwa anaibia sana wazungu aliuliwa na polisi relini watoto wa Pangani na Bondeni tunamjua vizuri.
Alikuwepo nyokaa alikuwa mwizi hatari katesa sana mianzini, sakina, ilboru na sanawari aliuliwa na polisi sakina
Alikuwepo Tumboniiii alitesa ngulelo, kimandolu kijenge nafkir na yeye aliuliwa na polisi ngulelo
Ngarenaro alikuwepo Mbalulaa alikuwa na mbio hatari akikwapua humshiki
Kuna kundi la wababe hawa hawakuwa wezi ila wababe hatari waliwakosesha raha watu sehemu za starehe kama mawingu club kijenge,roasters garden uzunguni, crystal club, metropole, sabasaba nk miaka ya mwishoni 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000
1. Iddi Mkuluuu (RIP) na kundi lake la Kaloleni gym,huyu bro alikuwa baunsa bonge la mtu mbabe hatari
2. Farijala Athumani(Papaaa) mtoto wa Ngarenaro bdae kijenge alikuwa anapiga kick boxer hatari alikuwa akikupiga kichwa lazima uanguke aliuliwa kwa kuchinjwa pale mtaa wa Jaluo
3.Fredi Jebi na Kabelo walikuwa watoto wa line police fire wababe walikuwa wanapiga gujuruu sio za nchi hii waliwatesa mno watoto wa kishua mjini kina Soican, Yusuph Mirambo, Valee Tango, Alkesh etc. Fredi Jebi alikufa kifo cha ajabu mguu uliota tende na ndio ukawa mwisho wa ubabe wa Kabelo
4.Baba Kisioki “babaaa” alkuwaga bondia na mbabe huko sinoni, lemara, njiro na kijenge ckumbuki nini kilimuua
5.Kingkola alikuwa mbabe hatari alikuwa anchezea timu ya Ngarenaro inaitwa “wayamkali” mpira hauishi kama kingkola hajapiga tiktatka
Wengine ni kina Omary manjiwaa, sele kishugaa pia kulkuwa na dogo aliitwa Regaa au Julius mambwaa alikuwa kapurwa lkn mbabe hatari alikuwa anatembea na mbwa zaidi ya 20.
Makundi maarufu yalikuwepo ka Kossovo chini ya Festo watoto wa Kambi ya fisi, maghoro na makao. Nako2Nako watoto wa kaloleni “Ololoo”, wakudisi watoto wa bongonyoo na Ungaltd kulikuwa na watoto wa blood ring Esso, watoto wa cheka ung’atwe Sombetini. kuna watoto wa Sing’isi walikuwa wanakaa sana tengeru walikuwa ni kwikwi tesa sana watu waliokuwa wnaenda beach party Duluti
Siku hizi haya magenge yamekufa ila waliobaki hatari ni vijana wa “tatu mzuka” wako kokote omba Mungu usikutane nao
RESPECT MKUU...!

Wewe ndio umeeleza UHALISIA zaidi wa Arusha ya enzi hiyo na mitaa yake. Utakuwa umekulia Pangani-Kaloleni, mitaa niliyokulia pia.

Kwa IDD Mkuluu tumeenda Gym yake sana kwenye ofisi za CCM karibu na kituo cha polisi kaloleni

Ila katika wapiga ngumi umemsahau Frank Mwamba huyu ni wa Tengeru, hadi sasahivi ni Mshua ameenda Age ila anapenda ngumi sana...na anawafua raia niajee...!

Kizazi korofi kilichofuata cha mkono, Martial arts hasa karatee ni cha kina Aboubakari Nakoz (Bou-Nako), Lord Eyez n.k na walikuwa na dojo lao halafu SAA 11-12 asubuhi zoezi ni uwanja wa Stadium, yule Akwii anawafungulia tu...!

Dah wako wapi machalii wa OLOLOO kina Ramsoo, Zero, LP, Hussein Tumbo, Spark juniour n.k? nimetoka huko kitambo.

R.I.P Douglas Nako (Dog Nakko)
 
Nawewe kuna mahali umeongea uongo. Banjoo haishi daraja mbili, anaishi Sanawari pale maduka matatu, amejenga kabisa.

Banjoo alikuwa miongoni mwa manyoka wa Nyari, japo yeye ndio alikuwa kiongozi wa Team yao

Sasahivi ana kijana wake wa kumzaa ni best friend wa mdg wangu, nawafahamu vizuri sana

Huyu Dogo ni mkorofi na mbabe sana kwa wenzake, nahisi atakuja kuwa zaidi ya baba yake au atafungwa jela.

Hayo mengine kuhusu Advocate Mwale ni kweli kesi yake ni ya utakatishaji pesa.
Mdogo wako atafungwa pia
 
Kuna vitu umeongea vya uwongo sana chusa hajawahi kua kibaka au nyamera,mwale hajawahi kuua mtu wa karibu wa nyari zaidi ya kua mwanasheria wake alipopata kesi...kesi ya mwale ni pesa zilitoka nje ya nchi na kuingia kwenye acc yake.
Banjoi hajawahi kua muajiriwa wa tanzaniteone kaja mererani 2013 kuzama kwenye mgodi wa manjulu.
Moja ni fala tu wala hana ujanja zaidi ya huko mtaani kwao daraja mbili
Mkuu banjoo hakai daraja mbili,anakaa sanawari ya juu,njia ya kwenda naboisho sekii huyo Ni broo wetu wa kitaa
 
Samson na Delilah...

Kila mahali wanawake ni binadamu wa kusababisha matukio...
 
Kuna jambazi moja lilikuwa Morogoro ussa garini mwake lipo na attention ya bastola linafungua kioo nusu likitaka kuongea na wewe, lilipelekewa killing squard kufungua tu kioo wakaliwahisha kuzimu.
Njia rafiki ya kuwaondoa hawa wapumbavu kwenye Jamii ni kuwatumia killing squard ndo wanachofanya Rwanda haiwezekani wao ndio wajifanye wanaijua pesa kuliko wengine.
Hata sauzi afrika wanatumia sana njia hii na matokeo ni mazuri.
Bullets ndio njia sahihi ya kuwapunguza watu wasiotakiwa kwenye Jamii.
Ilitokea forest
 
Back
Top Bottom