A - Town Gangsters walioitikisa Arusha kwa matukio ya uhalifu

Kawafanyia ccm Kazi nzuri Sana anakula fadhila kwa sasa.
Aliwajengea waislamu msikiti wakaukataa mikono yake imejaa hatia,machozi ya wajane na yatima yanamlilia.
Ikawaje baada ya kukataliwa? Ulibadilishiwa matumizi?
 
Saimoni a.k.a Raider wa Ungalimited,
Aliuwawa Ngaramtoni alikutwa amejificha kwenye kabati uchi.
 
Sabasita Kimaro ambae ni baba yake msanii anaeitwa Tunda anapewaga credit sana kwenye kumaliza haya mambo ya ujambazi na umafia hapa Chugga. Japo wengine wanasema ane alikuwa nyamera tu kama manyamera wengine ila chini ya mwavuli wa upolisi.
Sabasita alikuwa nusu polisi ..nusu jambazi ...
Jamaa alikuwa akisikia tukio la ujambazi Arusha anazama front kujua ni nani amehusika na amechukua pesa kiasi gani ...

Anaanza msako ..akikudaka mnagawana fungu ...kisha anakwambia potea ..na anakupa onyo la kuwa mwangalifu
 
Yeah ndio ukweli huo. Jamaa alikuwa police-mafia.
 
Back
Top Bottom