Mkuu wa CIA nyuma ya mauaji ya Soleimani na yeye auliwa kwa kudunguliwa ndege yake

Media reports say a top CIA official responsible for the assassination of Iranian Lieutenant General Qassem Soleimani was on the spy aircraft that crashed in Afghanistan.

On Monday, the US military comfirmed that its' spy aircraft,E-11A jet, built by Bombardier Inc, had indeed crashed in the province of Ghazni in an area controlled largely by the Taliban militant group and Michael was in the crashed aircraft.

Michael D’Andrea was the top CIA official responsible for the assassination of General Soleimani, the commander of the Quds Force of Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC), along with Abu Mahdi al-Muhandis, the second-in-command of Iraq's Popular Mobilization Units (PMU), in a US airstrike in the Iraqi capital Baghdad early this month.

“Andrea is the most prominent figure in the US CIA in the Middle East. He has been in charge of operations in Iraq, Iran and Afghanistan,” an unverified media report said.

The cause of the crash remains unclear. Iranian prayers answered or probably an Iranian master plan? You be the judge.
 
Ayatollah wa CIA amelambwa kichwa ndo akome tena akome afe vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ayatollah Mike The Dark Angel is no more....ha ha ha,huko alipo Kama kanusurika lazima wamlete mbele ya screen,,,
Katika hiyo ndege wamarekani Leo walifanikiwa kutua Hapo na kuchukua miili 2,
Hawasemi kuwa miili mingine iko wapi na Kuna watu wawili walisalimika nao hawajulikani wako wapi.
Kwasasa wamarekani wanataka kuamini hi lidege lote Lile lilikuwa na watu wawili tu
 
As far as I know, miili yote iliungua.
Wamejuaje kwamba alikuwa miongoni mwa hao? Au walienda na vipimo wakapima DNA za maiti?.
 
Kituo cha televesheni ya Iran imemchanganya mkuu wa CIA na muigizaji wa filamu ya zero dark 30 aliyepata ajali ya ndege Afghanistan, Iran walikurupuka
Jamaaa alipanda ndege yakijeshi yeye kama nani
Ama ndio alikua ana igiza !?

Mwisho wasiku ukweli mutausema wenyewe 2 mbna

All is Well.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Ukweli ndege ya upelelezi inayosaidia askari waliopo ardhini ya Marekani imeanguka nchini Afghanstan eneo ambalo Taliban wana nguvu.
  2. Haijathibitika kama imetunguliwa au ilipata ajali ya kawaida.
  3. Waandishi wa habari wenyeji wa Afghan waliwahi kufika eneo la tukio na kupiga picha marehemu mmoja wapo ambae aliumia vibaya sana na kufariki hapo hapo.
  4. Waandishi walikuta nyaraka zilizokuwa na alama za serikali ya Marekani na kuzipiga picha, baadhi wakazituma mitandaoni.
  5. Marekani yakubali ndege ilianguka na hawajui kuhusu hali ya wafanyakazi wa hiyo ndege kama marubani.
  6. Iran yatuma picha ya muigizaji na sio picha halisi ya huyo jasusi wa kimarekani.
  7. Warusi washangilia kwenye mitandao na kujigamba watawasaidia Taliban Man pad za kutungulia ndege kulipa kisasi kama wao wamarekani walivyo wasaidia wa Afghan wakati wanapigana na Urusi.
Mimi sipo upande wowote na sifurahii kifo cha wamarekani,
God Bless America, God bless Iran, God bless Iraq, God Bless Europe and God Bless Africa.
Let peace prevail on Earth.
 
The Pentagon said the names of the dead service members would be withheld until next of kin have been notified.
...
"A U.S. Bombardier E-11A crashed today in Ghazni province, Afghanistan. While the cause of crash is under investigation, there are no indications the crash was caused by enemy fire. We will provide additional information as it becomes available," Col. Sonny Leggett said.

Source: Two bodies recovered from crashed US military aircraft in Afghanistan

Ni tatizo la kawaida la kifundi lakini maadui wanavyojisifu utadhani wamefanya nini sijui. Walioathirika majina yao yamehifadhiwa hadi ndugu zao watakapojulishwa sijui hao Iran wamejuaje "mkuu" wa CIA alikuwemo.
 
Waache wayahifadhi ila mwisho wata usema tu ukweli maana awali ndege ilipo anguka US walikana wakasema sio yakwao

Ukweli watausema tu wala msijali haraka zanini !!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Pentagon said the names of the dead service members would be withheld until next of kin have been notified.
...
"A U.S. Bombardier E-11A crashed today in Ghazni province, Afghanistan. While the cause of crash is under investigation, there are no indications the crash was caused by enemy fire. We will provide additional information as it becomes available," Col. Sonny Leggett said.

Source: Two bodies recovered from crashed US military aircraft in Afghanistan

Ni tatizo la kawaida la kifundi lakini maadui wanavyojisifu utadhani wamefanya nini sijui. Walioathirika majina yao yamehifadhiwa hadi ndugu zao watakapojulishwa sijui hao Iran wamejuaje "mkuu" wa CIA alikuwemo.
 
IRAN Wala Hana Shida Maana Anajua Kama Watasema Ukweli Tu Mwisho Wake

All Is Well...

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump alitwambia hakuna aliyeumia kwenye shambulio la bases mbili huko Iraq. Baadaye wakaumbuka.
===
Kwenye ili US ikubali karma hii ....mamilioni ya Wairaq na Iran waliojitokeza kumuaga General Soleiman(r.i.p) yalikuwa na maana yake.
 
Akiwa dar,akakutana na kumwoa dada wa kihindi Farida currimjee,
Tangu Hapo CIA wanatumia haya makampuni as a front,hii Ni kwa mujibu wa habari nyeti,makao make ya currimjee group of company Ni mauritias
Kumbe shemeji yetu kauawa.Watanzania. Twende tukapigane Aghanstan kulipa kisasi Cha shemeji yetu kuuawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom