A Tanzanian Lodge Was Just Named The Best Hotel In The World

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
singita.jpg not-bad-for-a-bathroom-in-a-tent.jpg twice-daily-game-drives-with-professional-guides-are-included-in-the-cost.jpg activities-including-archery-lawn-croquet-stargazing-safaris-mountain-biking-and-tennis-are-avai.jpg a-lamp-lit-dinner-on-the-plains-outside-the-tent-camp.jpg a-canopied-bed.jpg a-bathroom-with-panoramic-views-at-sasakwa-lodge.jpg faru-farus-luxury-villa-costs-4730-per-night.jpg it-has-nine-cottages-and-a-private-retreat.jpg the-tent-camp-gets-a-visitor.jpg the-sasakwa-lodge-is-built-in-the-style-of-an-edwardian-manor-house.jpg the-dining-room.jpg guests-can-enjoy-an-outdoor-bath.jpg one-of-the-lodges-gorgeous-sitting-areas.jpg
Travel + Leisure just declared Singita Grumeti Reserves in Tanzania’s Serengeti National Park to be the best hotel in the world. It received a score of 98.44 out of 100 on a list based on reader surveys. The hotel, which is made up of two lodges and a tent camp, offers unparalleled luxury in the thick of the wild. It is located on the migratory route traversed annually by more than a million wildebeest, providing guests with incredible photo opportunities from their bedroom windows. Despite its remote location, Singita’s guests are treated to five-star service and accommodations. Rooms in the tents and villas start at around $1,095 per person per night</SPAN>; rates include daily game drives, food, and drink </SPAN></SPAN>
and-a-private-outdoor-area.jpg
 
Mimi mtanzania nalipa shilingi ngapi......(namaanisha shilingi sio dola).....kwenda kulala na kufurahia maisha katika lodge hiyo iliyopo ndani ya nchi yangu?....nikiwa kama mzawa halali wa Tanzania
 
mimi mtanzania nalipa shilingi ngapi......(namaanisha shilingi sio dola).....kwenda kulala na kufurahia maisha katika lodge hiyo iliyopo ndani ya nchi yangu?....nikiwa kama mzawa halali wa tanzania
1.pia je utalipwa shilingi ngapi iwapo utapata kazi hapo ukiwa mzawa!!?
2. Ukiwa mzawa je mazao yako yatanunuliwa kama unataka kuwaulizia hao wamiliki wa hoteli!!!?
3.jambo lingine ambalo ni la hovyo je utaruhusiwa kuingia hapo!!!?..........
Some times sifa za vitu vilivyopo hapa tanzania vinaweza wasaidia wezi wachache tu!!!!!!!!
 
Travel + Leisure just declared Singita Grumeti Reserves in Tanzania's Serengeti National Park to be the best hotel in the world. It received a score of 98.44 out of 100 on a list based on reader surveys. The hotel, which is made up of two lodges and a tent camp, offers unparalleled luxury in the thick of the wild. It is located on the migratory route traversed annually by more than a million wildebeest, providing guests with incredible photo opportunities from their bedroom windows. Despite its remote location, Singita's guests are treated to five-star service and accommodations. Rooms in the tents and villas start at around $1,095 per person per night; rates include daily game drives, food, and drink

hivi tangia wameanza kazi wametulipa kodi kiasi gani????????????????na watanzania wangapi wameajiriwa katika senior positions???????????
 
Je na Tax inalipa Shs ngapi kwa mwaka ua Shamba la bibi, ukiwa ya Kwanza au ya Mwisho hainuumizi kichwa, kinacho niumiza kichwa ni jinsi gani tutakavyo faidika na rasilimali zetu watanzania
 
Tanzania Mungu kaijalia kila kitu kizuri na inasifiki kwa mambo mengi ya kuvutia lakini kwa bahati mbaya sana sifa na mali nyingi tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu hazilingani na hali halisi ya maisha ya mamilioni ya watanzania wasio na uhakika wa kesho
 
These things, for sure they bring some pea-nut income to us, but to the other hand its some kind of defamation to us as we cant afford even a cold coke inthere!
View attachment 35349
 
Kweli hii siyo Tanzania ya Mwl. bali ni ya mafisadi? Kulala kwa siku US$ 1095 x 1600 = Tsh.1,752,000/= @day! Mshahara wa mfanyakazi wa kawaida wa mwaka mzima just for single day!
 
US $ 1095 a single night!...Hivi kuna Mtz anaeingia humo?

wapo sana wanaoweza kulala huko......kama nina vimillion vyangu 20 vya matumizi madogoadogo au nina vitrillion vyangu....nini kinanishinda......mambo madogo sana haya...btw....mambo vipi?
 
wapo sana wanaoweza kulala huko......kama nina vimillion vyangu 20 vya matumizi madogoadogo au nina vitrillion vyangu....nini kinanishinda......mambo madogo sana haya...btw....mambo vipi?
Mambo si mambo shemegi yangu!
Nakumisije!:coffee:
 
Mimi mtanzania nalipa shilingi ngapi......(namaanisha shilingi sio dola).....kwenda kulala na kufurahia maisha katika lodge hiyo iliyopo ndani ya nchi yangu?....nikiwa kama mzawa halali wa Tanzania

Ni kama mmarekani akianza kudai mbona hajawai kulala kwenye hotel maarufu manhattan, au mwingereza akadai mbona hawajai kulala pale grosvner house au ritz hotel, na wote wakadai mbona hawachajiwi hela ya kizawa?!

Acheni kufikiria upuuzi kama uo, watanzania tumezidi kuitaka nchi itufanyie hiki na kile na kila kitu, Sie wenyewe tumekaa na ****** yetu tunapiga zogo kijiweni, kuwasifia wezi, majambazi na mafisadi, kama vile ndio wameshinda maisha kwa kujihusisha na maovu hayo!

Tembeeni muone nchi zingine kama wazawa wanaruhusiwa kuingia na kwenda kula raha kwa kuchajiwa hela ya kizawa.

Hapa mbongo kajitahidi, sie tutaanza domo mpaka hatulali, kisa wivu, kama nyie mnao uwezo basi fanyeni yenu, kwa kutumia rasilimali zetu bila kukwiba au kuhusikana ufisadi!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom