A sham confirmation process? A rubber stamp parliament?

Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,733
123
Can we say that we have a confirmation process? Somebody reads a third rate speech and sweeps the floor just like that?

No questions asked no nothing? Open campaigning by the Speaker?

Is this what we call a confirmation process? Or is it more like a rubber stamp parliament?
 
Lets face it. We now have a government that we cannot hold to account in any way whatsoever. JK is behaving as if he is no longer in charge.

We're on the road to nowhere ...
 
Pundit:::;

i cant say much at the moment. but you can see the whole process of electing and confirming.. i dont know but smothing is not that right!

i dont see fire..kuna nguvu hana..kuna nguvu hana ..ambayo tayari imeanzishwa..!! wiki cheche zilizopita..!
..kama ukinagalia ule moto uliokuwa umelipuka..nguvu fulani ka ma inafifia sioni kama anayo...sioni kama asingeweza kuboresha sherehe yake..kwa kuwa more vigilant ...etc.
 
Can we say that we have a confirmation process? Somebody reads a third rate speech and sweeps the floor just like that?

No questions asked no nothing? Open campaigning by the Speaker?

Is this what we call a confirmation process? Or is it more like a rubber stamp parliament?

Nakubalina na wewe Pundt lakini wakiamua kufanya kweli wanaweza; au yale ya jana hayajaku-convince?
 
Nakubalina na wewe Pundt lakini wakiamua kufanya kweli wanaweza; au yale ya jana hayajaku-convince?

Lakini mimi sioni kama anafanania mambo mazito,..yaani kutokupelekwa tuuuuuu na kukubaliana...hovyo..mbona kama hawezi kuamua mambo kama yeye anyway..tusubiri tuone...
 
Nakubalina na wewe Pundt lakini wakiamua kufanya kweli wanaweza; au yale ya jana hayajaku-convince?

Tatizo langu ni kwamba tumemtoa Lowassa halafu tumemuweka "mtoto wa mkulima" ambaye naaamini wabunge wengine wamempigia confirmation vote bila hata kumjua. Hakuweza hata kuulizwa viswali viwili vitatu tuone misimamo yake?

Kama tungekuwa na confirmation process ya kuuliza maswali labda Lowassa 2005 angeulizwa kuhusu kashfa zake za rushwa Wizara ya Ardhi na watu wasingemkubali. Hii rubber stamp process ndiyo inatufanya tupate mawaziri wakuu bomu wanaoabisha kama Lowassa.

Jana as far as I am concerned is just political machination, ukitaka kujua angalia kama Lowassa na wenzake watachukuliwa hatua zozote.

Kikwete mwenyewe anahusika na IPTL halafu unafikiri yuko serious kwenye corruption? Mi naamini Lowassa ali overstep his bounds na kumfanya Kikwete kuwa insecure ndiyo maana kaondolewa, siyo rushwa kama Kikwete anavyotaka tuamini, kuna rushwa ngapi zimetembea?
 
Hii confirmation process lazima ibadilike. Wabunge wapewe nafasi ya kumuuliza maswali aliyependekezwa hata kwa siku mbili au tatu kama kuna maswali mengi yanayoweza kutaka extra days. Haya mambo ya kumpitisha mtu bila hata swali moja la kujua misimamo yake katika issue mbali mbali yamepitwa na wakati.
 
Hata mimi nakubaliana na Pundit, yaani Waziri MKuu mtarajiwa haulizwi hata misimamo yake kuhusu mambo mbalimbali yanayoihusu nchi ili hapo baadae akishindwa kufanya au kusimamia mambo hayo watu wawe na evidence za matamshi yake binafsi. Nadhani kutokana na mambo yanavyoendeshwa hivi sasa sioni hata umuhimu wa wabunge kupiga kura. Mtindo huu inabidi ubadilike ili kupanua zaidi demokrasia na kupata candidates wazuri.
 
Lets face it. We now have a government that we cannot hold to account in any way whatsoever. JK is behaving as if he is no longer in charge.

We're on the road to nowhere ...

Mind boggling, innit?!

Anyway, it's weekend!!

[media]http://www.youtube.com/watch?v=BT25gd5XWBo[/media]

SteveD.
 
Hii confirmation process lazima ibadilike. Wabunge wapewe nafasi ya kumuuliza maswali aliyependekezwa hata kwa siku mbili au tatu kama kuna maswali mengi yanayoweza kutaka extra days. Haya mambo ya kumpitisha mtu bila hata swali moja la kujua misimamo yake katika issue mbali mbali yamepitwa na wakati.

Hata mimi nakubaliana na Pundit, yaani Waziri MKuu mtarajiwa haulizwi hata misimamo yake kuhusu mambo mbalimbali yanayoihusu nchi ili hapo baadae akishindwa kufanya watu wawe na evidence za matamshi. Hii process iko too general yaani sioni hata umuhimu wa wabunge kupiga kura.

Licha ya maswali yahusianayo na utendaji serikalini na personal business, kuna maswala kama vile:
--msimamo wake kwenye mambo ya homosexuality
--msimamo wake kwenye mambo ya arbotion
--msimamo wake kwenye mambo ya death sentence
--n.k.

Ili mradi tu watu tumjue yukoje katika taswira ya jamii.

Kwa kweli nami namuunga mkono Pundit, some processes katika Bunge letu ni lazima ziwe improved for better.

SteveD.
 
Taabu hapa ni woga kumuuliza- maanake bado baraza jipya halijatajwa- na wapo wanaotafuta kupendelewa!

Ndo utaona- traditionally -Waziri Mkuu siku Zote hupitishwa haraka haraka sana for over 95% of votes!

Muhimu -itabidi kuwe na muda (window period) ili Wabunge wachunguze na kupewa mda wa kuhoji!

Tatizo la Tz ni haya mambo ya chap chap- kupitisha jina- na baadae ankuwa bomu kama Lowassa!

Well ni funzo, our democracy is evolving, not mature yet!
 
Nakubaliana na Pundit na kwa kweli mimi nimesikitika kwamba after all that excellent rhetoric on Thursday, wabunge wamefanya walichoahidi hawafanyi tena - rubber stamp!
I am personally disappointed na opposition, yaani hadi msemaji wa upinzani anasimama na kumpongeza EL - what was he is thinking? Zitto naye kabaki kumsifia tu MP. They are wimps!
Ngoja tuendelee kushabikia politics za wenzetu wamarekani at least they have Obama ambaye ana msimamo - he took a stand agaisnt the war when it was not 'pragmatic' to do that! Hapa Tanzania baaadooo!
 
Jamani, mbona hata watoto wa skuli wanajua kwamba Mizengo naye alikuwa na kashfa fulani ya rushwa? Hii si mizengwe hii? Sina data, nimeambiwa, mwenye data azilete.
 
Revisiting Pundit's thread on "rubber stamped PM, Pinda".... now we all what he meant..
 
Mizengo Pinda is a shameful spineless sabotaging spook speaking for swindlers.

Whats even worse is that our system allows the president to have countless of Mr. Pinda's clone.
 
Back
Top Bottom