½ a second before death | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

½ a second before death

Discussion in 'Jamii Photos' started by popiexo, Mar 1, 2012.

 1. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  download.jpg
  ½ a second before tsunami
  The last picture! There are people who believe in God, there are
  others who don't believe,
  but we must understand that we are small when nature hits...

  This picture was taken on the banks of Sumatra Island (the height of
  waves was of approx. 32 m = 105 ft).
  It was found saved in a digital camera, 1 ½ years after the disaster.

  We cannot know for sure, but very likely the one who took the picture
  is not alive any more (it was just a matter of seconds).
  Today we can see the last image he/ she saw before ending life on Earth! ---
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Mkuu I am a scientist na nafikiri hii photo si ya ukeli.
  Ili niamini basi nijibu yafuatayo
  • cheki vizuri outline ya hiyo mass, outline yake haiko firm, yaani iko vapourous
  • hiyo mass yote ni cloudy
  Hilo maas nafikiri ni DUST STORM ambazo zinatokea kule Marekani hasa wakati wa kiangazi
   
 3. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unafikiri? Mkuu kumbuka mawimbi yalikuwa kwenye spidi kali sana kwa hiyo ukiyaona kwa mbele lazima udhani hivyo. kaangalie viwimbi vidogo tu hapo coco beach.
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  In the same camera there were pictures of nude women. Blah Blah Blah.............

  Umeanza vibaya. Siku hizi hamna mtu asieamini kuwa we were created. And with a special purpose.

  Uwe umesoma theoretical physics kama Big bang, String theory or whatever. All calculations and mathematics lead to a special factor. Some call it dark matter, some cosmic dust. Lakini wana maanisha The creator.

  Nothing happens by chance. Everything is governed by his will. AAAHH some call this phenomenon GOD. But all is the same thing.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mmmh! Ama kweli Mungu yupo!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i picha ilishazunguka kwenye mitandao before, the last time story ilikua ni marekani, sasa ni sumatra

  aisee
   
 7. P

  Percival JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni vumbi sio wimbi la maji. Hii picha inaonekana kama ni Australia ambako huwa kuna ukame, jangwa na upepo ambao hutimua vumbi kubwa.
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Yeah,even the father of quantum physics who opened the gate 4 the atomic age said t,that "science without religion is blind!"
   
 9. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa la mtu aliyepost hii picha ni kufikiri wote si wanasayansi.
  Mimi ni mwanasayansi na vile vile ni muumuni mzuri tu.
  Principles za physics hazionyeshi hata kidogo kuwa hilo ni wimbi la maji.
  Hii ni kutokana na ukweli kuwa surface ya hilo wimbi kama kawaida ya maji haliko firm , tofauti hata na breaking waves.
  Mtoa mada hajaturidhisha hata kidogo kuwa hilo ni wimbi la maji badala ya DUST STORM.
   
 10. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine huwa ni magumu mno kuyafikria kwa akili ya kawaida.kama ni wewe ungefanyaje saa hiyo.?
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  .......Vile vile ni ngumu sana kwa water waves kutengeneza pattern ambayo iko uniform namna hiyo.
   
 12. New2JF

  New2JF Senior Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Creativity
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umeona enhee lakini kiranga haamini katika hilo mkuu..:pray2:
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Kama kweli kuna Tsunami kubwa hivyo, na position ya mpiga picha ndiyo hiyo, basi hiyo camera ilishazama majini na hiyo memory chip itakuwa ishaharibika.

  Hii picha ni ya kufoji, fafa.
   
 16. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huhutaji kuwa mwanasayansi kujua kuwa hiyo sio tsunami!!

  Kwa habari kamili and the original story juu ya hiyo picture bofya hapa herald02nov14
   
 17. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Subhanna Allah .
   
 18. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  mkuu, hapo ungetumia nadra badala ya aghalabu.

  Kwenye kiswahili watu tuna-'interchange' haya maneno mawili(nadra na aghalabu,)

  nadra = chache/mara chache.
  Aghalabu = yenye/chenye/enye kutokea mara nyingi.

  Ni hayo tu, napita.
   
 19. G

  Ginner JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Msijidanganye kujiita wana sayansi...hakuna mwana science bongo.....ila wapo waliosoma tu science
   
 20. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  @popiexo, Mkuu kidogo tu uniingize mujini mzima mzima,
  Shukurani Safari ni Safari na ShakaZulu.
  Picha ya 2002 mkulu anatufungia kamaba leo,
   
Loading...