A REFUGEE CAMP IN DAKAR SENEGAL (Naomba mtizamo wako kuhusu hii Story) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A REFUGEE CAMP IN DAKAR SENEGAL (Naomba mtizamo wako kuhusu hii Story)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kipeperushi, Sep 2, 2011.

 1. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni, takribani miezi mitatu au zaidi, nimekuwa nikipokea e-mail kwa nyakati tofauti toka kwa watu mbalimbali ambao baadae nilikuja kugundua kwamba hawakuwa na maelezo ya ukweli kwangu. Kwa kifupi watu hawa ni wadada, (ingawa sidhani kama kweli watu hawa huwa ni wadada au la..!). Katika maelezo yao, ambayo mara nyingi huambatanishwa na picha za wasichana (kwa madai kwamba ndio picha za wahusika), watu hawa wamekuwa wakidai kwamba eti wamevutiwa na mimi baada ya kutembelea Profile yangu kwenye Facebook na Netlog kwa hiyo wanaomba niwajibu kwenye yahoo mail ili tuendelee kufanya mawasiliano ya kirafiki kupitia yahoo.

  E mail mbili za kwanza (ambazo zilitofautiana kama siku tatu hivi) nilizijibu positively ingawa hizi za mtu wa pili zilianza kunipa doubt, kwani zilinionyesha wazi kwamba zilikuwa ni copy za zile za yule mtu wa kwanza (isipokuwa zilikuwa zimefanyiwa editing kidogo). Wote walikuwa wakidai kuwa ni raia wa Rwanda ambao walijikuta wanalazimika kuishi kwenye Refugee Camps zilizopo mjini Dakar Senegal baada ya kukimbia vita nchini Rwanda.

  Baada ya kuwasiliana nao kwa mara kadhaa na kupata story juu ya maisha yao huko Senegal, niliamua kutafuta ukweli kuhusu hii kitu inayoitwa REFUGEE CAMP IN DAKAR SENEGAL. Nilipokwenda kwenye Google niligundua hapakuwa na story yoyote ya ukweli kutoka kwa wadada hao ila tu hii ilikuwa ni tricks za INTERNET SCAMMERS.


  Baada ya kugudua upuuzi huo niliamua kuwachana. Kimsingi niliwatukana kinoma na nikawaambia kuwa wakiendelea kunifuatilia watapoteza muda wao bure. Sasa wana jamii, kinachoendelea ni kwamba hizi e mail zinakuja kama mvua sasa hivi. Swali langu ni kwamba hawa watu hawataniletea Virus wabaya kwenye computer yangu? Maana naona wako so tricky na wananifuatilia sana. Nifanye nini ili kuwa avoid? Siwezi kubadili e mail address yangu kwa sasa.
   
 2. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mtizamo upi zaidi ya huu wako ulokwishawashtukia au unataka mtizamo wa kujiunga nao, mara nyingi humu jamvini tumekwishatahadhalishwa juu ya hawa watu wewe huwa hausomi!!!!!????.
   
 3. Mfatiliaji

  Mfatiliaji Senior Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hao ni matapeli tena wa muda mrefu sana,mwisho watakwambia uwape account yako ili wakutumie fedha walizoachiwa na wazazi wao ili waje waishi na ww tanzania kwa sababu wanakimbia vita.cha kufanya kama unatumia yahoo,drag email uliyotumiwa kwenye spam folder.
   
 4. Also me

  Also me Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dah! yan hao wasumbufu kwel, mie had xaxa wapo kama wanne hv, na story zao za kizush, n bahat mbaya walini2mia email tofaut lakin picha walizozi attach ni za mà mmoja, n kila email ina story na description tofauti!.... teh-teh-teh!...
   
 5. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 6. m

  mankind Senior Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkuu hapo unawasiliana na mashine. Hao sio watu we ingia online kwenye messenger utaona message kutoka kwa wanne tofauti maneno yale2.
   
 7. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wasumbufu sana hawa watu ,ni scammers achana nao-watakutapeli ukiwa na roho ya huruma
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  mimi waliniomba ac no,nikawaambia hatuweki hela benk za kawaida sisi ni matajiri tunayo local benk yetu tunasaidia nayo yatima tz haitoi hela nje ya tz.vilevile hatuhitaji hela ya masikini kama yeye hawakunitumia tena.
   
Loading...