A private Motion on TZ involvement in weapon transportation to GLR (UN Report) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A private Motion on TZ involvement in weapon transportation to GLR (UN Report)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Dec 2, 2009.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,629
  Likes Received: 2,497
  Trophy Points: 280
  For God Sake! ndo niliyoyasema humu ndani Division Fours na zero kuwa journalists! A good Journalist hufanya investigation kubaini what transpired na sio kuweka Nationalistic emotions mbele! Tujiulize kama katika hili Jeshi letu watu wamenunua helicopter vibudu zikaanguka na kuua marubani walioigharimu serikali hela ya walipa kodi hoi kusomeshwa why isiwe possible kuuza silaha? na kama walionunua hizo Helicopter wako wanakula kuku kwenda mbele bila ya kuwa accountable kwanini tushangae kuhusu hili?

  Tujiulize tena kama file la Meremeta haliwezi kuguswa (kisa Siri ya Jeshi) na hatujui fedha zilienda wapi baada ya kutolewa BENKI KUU na kutozalisha dhahabu iliyokusudiwa au hata kama iliuzwa hela kupotea, je hazikuingia kwenye huu mchezo mwingine mchafu baada ya Media kuwabumbulukia na kuharibu tender yao ile ya dhahabu chafu? Je kwanini Vithlani hakamatwi na kushtakiwa? kama aliweza kuuza helicopter mbovu, malori overprized akishirikiana na wakina Somaiya, kwanini asiweze uza kalashnikov KA147, Kama Suma textile inazalisha na haitoi faida na serikali iko kimya why not possible for gatuscha rockets?

  Professional Journalist hakurupuki bali hujiuliza ni kwanini Serikali ina-react namuna hii kulikoni? Na ikumbukwe si mara ya kwanza kwa hii issue kuandikwa kuna kipindi iliandikwa na journalist wa IPPMedia raia wa Malawi na cha ajabu huyo mhusika alifukuzwa kazi na inasemekana ni amri toka kwa serikali ya awamu ya tatu! jamani tuache kulala kila idara ya nchi hii imeoza na kama serikali iko serious watoe vielelezo ni kwanini wanapinga hiyo report na sio kutupa historia ati tumekuwa tukisaidia amani katika Maziwa Makuu!! Maziwa makuu your foot! Na kama silaha zilipita on Tanzanian soil kumuondoa Mobutu why not possible now! Ikumbukwe pia UN wametoa a proof on how is Tanzania involved (hawababaishi) !

  Guys to be fair enough i am crying now! sorry for this inaniuma kuona today in the 21st century watu wanadanganywa kirahisi namna hii? Kwanini watu wawe na imani namna hiyo juu ya Serikali wakati yenyewe imepoteza uaminifu kwa wananchi wake? Oh God, guys pls open up your eyes now!!!! before our country is sold! Ninaamini silaha zilipita haswa nikiangalia jinsi serikali inavyojaribu kuua hii issue kwa nguvu zote!!! There is always a place to file grievances wherever unfairly treated! So why is Tanzania not consulting its attorneries and file a case at UN Court for image destruction i.e. at The Hague, so plz Membe go to the International Court now ili tujue kipi pumba na upi ni mchele sasa sitaki politics! Nimechoka na kuwa-exhausted na people's unpatriotic but only nationalistic fed beliefs or approach of issues of high national interest here! A true country Patriot sits down and analyze what's true and false! Then he asks for accountability! Vijana tuamke na kuuliza why this? why that? ama sivyo tutakosa mtoto na maji ya moto hii nchi imevamiwa na majangili wa kila uovu!
   
 2. C

  Chief JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,400
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  "The buck stop at me!" Thus sayeth JK
   
 3. M

  MLEKWA Senior Member

  #3
  Dec 2, 2009
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  THIS HOW KIKWETE GOT MONEY TO WIN CCM NOMINATION AND BEAT OPPOSITION PARTY IN 1995 ELECTION , CCM WAS INVOLVED IN SELIING WEAPONS TO BURUNDI , I MET ONE AMBASSADOR IN USA while iwas vist Washington and Invited at Howard University at Great Lakes meeting , that time State Department official were there and Ambassador of Congo a woman her name Faida Mitifu was a spokesamn about Congo Conflicts, BEFORE COMPLAIN ABOUT HOW TANZANIA AND KIKWETE THAT TIME he was Waziri wa nje was involved in this weapons dill through Mwanza. Membe can dinied this but his boss was involved in this weapons deal, Tanzania we can not lie to the world we are deal maker in great lakes while we are working behind the shadow, Rostam was part of this Weapons deal as well.
   
 4. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #4
  Dec 2, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna tatizo gani kwani, wahenga wanasema jirani akiwa anajunga nyumba yake mwazime panga!
   
 5. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #5
  Dec 2, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukila nyama ya mtu unaendela kuila, tuliwasaidia hawa magaidi akina CNDD/FDD. na sasa hawa ma genocidaires??
   
Loading...