"A Picture Worth a 1000 Words..."

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,257212cm1h.jpg

m
Mtoto mdogo ambaye alikutwa hivi karibuni huko Temeke akimuuguza mama yake Mzazi. Tafakari wewe mwenyewe...

(Picture by: Yahya Charahani Courtesy of Haki-hakingowi.blogspot.com)

 
mmmh machungu juu ya machungu wodi zilijaa?kwa maana inaonyesha yupo nyumbani na si hospital.Huu ugumu wa maisha bongo sijui utaisha lini.
 
he looks so down and like he is losing everything.hamna hata jinsi ya kumtumia hata msaada?halafu other bastards are lavishing in riches kwa majasho ya wananchi.
 
God where are you?? please heal this poor woman so that the son can be freed from this bond of misery ... for its only you our GOD that can help us and our children otherwise the rulers we have think about nothing but their own stomach
 
Dogo kwanza anaonekana ana njaa , halafu akicheki anayemtegemea yuko kitandani hakuna backup yoyote. Upweke umemgubika maskini.
 
ivi wizara ya afya ina hangaika na nini katika nchi hii,jana tu kwenye gazeti moja wametoa watu wana lala chini kwa kukosa vitanda pale muhimbili!!
 
inasikitisha. ingesaidia kama kungetolewa maelezo ya ziada kuhusu kadhia hiyo..anaumwa nini, anatibiwaje na anahitaji msaada gani.
 
Inasikitisha kwa kweli...mama ndio King na ndio amelala haijulikani ataamka lini ili uhai wao uwe na uhakika tena...tumaini iliyolala.........
 
God where are you?? please heal this poor woman so that the son can be freed from this bond of misery ... for its only you our GOD that can help us and our children otherwise the rulers we have think about nothing but their own stomach


Hilo ndio tegemeeo,baada yayote kushindikana.
Serikari haina msaada,vionzozi wana miwani ya giza basi shida juu ya taabu.
Hivi hapa si kuna ile misaada ya hiyari kama ya wale walio kwama kwenye masamo kule UKREINE?
Kwani nini STEVEB usianzishe harambe KIjana akasaidiwa na wale wote mbao wamekwama kama yeye kwa msaada wa manesi wodini wasaidie na tuchague mtu wa kupeleka kama jamii ya JAMII FORUM.
NI wazo tu ,na napenda kuwakirisha
 
Back
Top Bottom