A picture is worth a thousand words! Is this shame, shock, anger or guilt? You be the judge!

So help us. Can you tell us what that look signifies? Is it shame, shock, anger, guilt or something else? Remember one look is worth a thousand words
Nitafutie mkalimani kwanza
 
Hakuna kiongozi makini atakaefuata maoni ya waganga njaa kuongoza nchi.
 
hakuna watanzania wapumbavu Wapumbavu kama hao wana ufipa, Samia hawahusu kabsa,si mlisema hamtambui matokeo am???
Punguza jazba mkuu, suala lako linazungumzika. Kwani Samia alipigiwa kura? Au unaongelea matokeo yapi?
 
hakuna watanzania wapumbavu Wapumbavu kama hao wana ufipa, Samia hawahusu kabsa,si mlisema hamtambui matokeo am???
Bila shaka umesahau kuwa Katiba ya Tanzania ndio ilimpa Urais Mh. Mama Samia Suluhu baada ya wana CCM kujaribu kuisigina Katiba kama kawaida yao. Je unaona jinsi huzuni, simanzi, woga na wasiwasi ilivyotanda kwenye hii picha hapa chini?

CCMagaidi.jpg
 
Mi nilijuaga platz member ni watu makini sana kama paskali Mayala ,kumbe na wapumbavu nao wanakuwa pltz member??🤔🤔
 
Mi nilijuaga platz member ni watu makini sana kama paskali Mayala ,kumbe na wapumbavu nao wanakuwa pltz member??🤔🤔
Pole sana. Kama nawe ni mtoto wa dada au mjomba, lazima utakuwa umeumia sana tu. Lakini usijali sana maisha ndivyo yalivyo.

Kwa kuwa bado u kijana mdogo, usikate tamaa, bahati inaweza ikakugongea hodi tena na ukaweza kubahatisha na kababa mdogo.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom