A Note to Capital Television

IshaLubuva

JF-Expert Member
Dec 4, 2008
250
11
Kwenye taarifaa yenu ya leo usiku wa saa 3.30 mmeinena KNCU kuwa ni Kilimanjaro National Cooperative Union kitu ambacho siyo sahihi. Kirefu cha KNCU ni Kilimanjaro Natives Cooperative Union.

Ushauri wangu kwa waandishi wa habari muwe mnawasiliana na wahusika ili kupata maana sahihi ya mambo mnayotaka kuyatolea taarifa.
 
Yapo mambomengi ni blanda hawa waandishi kibaaao vihiyo, wengine utaskia anatangaza eti mkoa wa moshi khaaaaaa
 
Kwenye taarifaa yenu ya leo usiku wa saa 3.30 mmeinena KNCU kuwa ni Kilimanjaro National Cooperative Union kitu ambacho siyo sahihi. Kirefu cha KNCU ni Kilimanjaro Natives Cooperative Union.

Ushauri wangu kwa waandishi wa habari muwe mnawasiliana na wahusika ili kupata maana sahihi ya mambo mnayotaka kuyatolea taarifa.

Hivyo ni vijikosa vidogo vidogo tu
 
Hivyo ni vijikosa vidogo vidogo tu

Mwita laiti kama ingalikuwa mahakamani ndo ungejuwa madhara ya hivyo unavyoviita vijikosa vidogovidogo, "Native" kuiita "National" kwako ni vijikosa vidogovidogo, inashangaza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom