Dah hebu nitupie link tafadhaliUnaambiwa wamechanganyikiwa hadi kufika JK na polepole kugombea mic bagamoyo !
😆😆😆 ngoja kuche kwanza , kama kawaida yake ndugu kiherehere akampa muda mfupi mzee wa kuongea lakini mzee akagoma na kupitiliza dakika alizopewa , na kagoma hadharani
Kuchele...ngoja kuche kwanza , kama kawaida yake ndugu kiherehere akampa muda mfupi mzee wa kuongea lakini mzee akagoma na kupitiliza dakika alizopewa , na kagoma hadharani
Yes indeed, Lissu and Ponda make a formidable dream team! 💪🏽💪🏽💪🏽It might be a memorable moment to remember!
Mgombea urais mwenye ushawishi mkubwa kwa tiketi ya CDM ametua mjini Karatu muda wa jioni akiwa kachelewa. Na kwa kuheshimu sheria za uchaguzi ameamua kuahirisha mkutano mpaka kesho saa tatu asubuhi.
Kuna mambo kadhaa ya kuvutia na kufutahisha yametokea
1. Lissu amesema anaweka kambi hapo uwanjani. HATOKI atalala hapo. Just imagine wananchi atakaokesha nao na kumbukumbuku watakayotengeneza, ni siku muhimu sana hii.
2. Ujio wa Sheikh mtata kwenye kampeni za Lissu. Sheikh Ponda Issa Ponda, kuna common interest kati ya wawili hawa, wanajiamini sana.
Hawaogopi. Wamefunguliwa makesi mengi kwa nyakati tofauti. Wamekamatwa mara nyingi na kuwekwa mahabusu mara nyingi pia
Wana ushawishi wa ajabu. Imagine usiku huu watakapokuwa pamoja na story watakazopiga. A HISTORY MADE!
3. Kauli ya Sheikh Ponda kuwa 'wamekubaliana' kura zote za Waislam kwa Lissu na CHADEMA! Hili limezua taharuki kubwa upande wa pili maana hawakulitegemea hili hasa kwa kipindi ambacho wameelemewa mno.
Wakati Lissu na Ponda wakiwa Karatu wanapiga story za furaha na wananchi. Huko mjini dalisalama kilinge cha masheikh kimekusanywa kutoa tamko la kulaani na kuikana kauli ya Ponda.
Kuna wakati kuna mambo yanachekesha sana wakati wanakusanywa manabii mia nne tulikaa kimya, baadae wakaitwa viongozi kundi zima wa dini mbalimbali kusifia mazuri ya hii awamu, hatukusema kitu pia. Leo hii kauli moja tu ya Ponda imewatoa nyoka wote pangoni.
Ponda keshasema na wakusikia wamesikia. Ufuasi wa Ponda na ushawishi wake kwa watu mbalimbali unafahamika wazi. Ushawishi wa Tundu Lissu pia uko wazi. Usiku mmoja wa wawili hawa ni unabii mwingine unaopeleka hofu kubwa na bayana huko kwingine!
Usiku mmoja na Lissu na Ponda hapo uwanjani Karatu na wananchi wao na chopa lao. Ni nani angependa kuikosa siku hii muhimu na ya kihistotria?
Nitajiunga nao usiku huu KIROHO niwe sehemu ya historia.
A NITE WITH LISSU AND PONDA; POLITICIAN and SPIRITUAL LEADER. History made!
Habari MTANZANIA, Naitwa TUNDU LISSU, nagombea Urais kupitia CHADEMA. Nina nia na dhamira ya kweli ya kuibadilisha nchi yetu.Haki huliinua Taifa
Hebu msikize huyu juha hapa ..wamejisahau mnoKura zote Chadema!
Unachukua karatasi unashuka prrrrrrrr! Hadi jina la mwisho TUNDU ANTIPASI LISSU
Mbunge Chadema
Diwani Chadema
Kisha umamlinda wakala na kura hadi kieleweke!!
Ila mama yako ndio atashinda 95%? Bwege kweli wewe.Lissu hashindi hata 5%
ndani ya siku 100 za utawala wa Lissu kila kosa litakuwa linadhaminika.Sijaongea kuhusu kuchagua chama hapa. Nimeongea kuhusu mashekhe wa uamshi ambao ndio kura turufu inayotumika
Kwanini hao wako ndani? Atawatoa kwa vigezo gani?
ila kaamka Ponda na tamko moja tuu kizaazaa kimeanzaajambo hili hata mie limeniacha hoii
wameongea weeee viongozi mbalimbali wa dini wakisifia na kuunga juhudi pakawa kimyaaaa
ila kaamka Ponda na tamko moja tuu kizaazaa kimeanzaa
hatari saaana aiseee
ndani ya siku 100 za utawala wa Lissu kila kosa litakuwa linadhaminika.
Kunatetesi mshahara umeongezwa mwezi huu.Watumishi kura kwa Lissu zote.
Mmeteswa sana miaka 5