Uchaguzi 2020 A night with Tundu Lissu and Sheikh Ponda at Karatu

The alliance between the two wont get them anyway. Some of the promises can not be delivered.
Mashekhe wa uamusho, TL hataweza kuwatoa.
 
Waislam watampigia Lissu kura. Unajua hiyo ni meseji kubwa kwa watu wengine na huwezi jua nao watahamadishana vipi. Kwa ufupi hii strategy ya kumtumia Sheikh Ponda imekuwa Miscalucated na ndani ya hizi siku kumi Ponda ataleta madhara makubwa kwa Lissu kuliko mnavyodhani.
Mwaka 2010 tunajua Kikwete alivyopata taabu kutokana na watu kuhamasishana huko kwa wengine. Hawa watu hawajawahi kuiva hata kidogo.
 
WaTz ni wanafki sana !!. Majuzi sheikh Alhadi Salum wa Dsm alipopanda jukwaani kuiombea Ccm na Maghufuli miaka mitano watu hawakuhoji !!. Mwezi uliopita viongozi wa dini walikusanywa Dodoma kwa nia sawa na hiyo. Watu hawakuhoji !!.

Leo kwa sababu nyumba ya kambo imepata shavu askofu Bagonza, sheikh Ponda na askofu Mwamakula . Ñyoka wote wametoka pangoni !!. Huu ni unafiki wa hali ya juu
 
Nimeona akina Shekhe kipozeo (aka mzee wa misambwanda),Majini nk wametema nyongo kali juu ya juu ya Shekhe Ponda! Unaona kabisa jamaa walivyo na njaaa flan bora wangekaa kimya watunze heshima yao wanaonyesha kabisa wametumwa
 
Wambulu wanasifika sana kwa nyota. 1995 Mrema alivyotoka Mbulu hali ilibadilika sana.Tutegemee mananau kuwa mengi hapo uwanjani nyakati za usiku na kama Lissu alikubali kuvishwa ule mgorori mweusi ndio shughuli imeshaisha hiyo..
Nakumbuka kipindi nyota ya Sumaye ilivyokuwa iko vizuri ,mara akafanyiwa tambiko na wazee wa kimasai na wazee wa kiiraq waliovalishwa kimasai ili awe raise waliofanya hiyo kazi inasemekana ni marmo na lowasa ,baada ya hapo upepo ulibadilika gafla kashfa za Sumaye zikawa nyingi hadi akaanza kukonda ,ila all in all Karatu ni ngome ya chadema au upinzani wanajielewa hata nyerere na kawawa wanalielewa hilo kuhusu wairaq
 
WaTz ni wanafki sana !!. Majuzi sheikh Alhadi Salum wa Dsm alipopanda jukwaani kuiombea Ccm na Maghufuli miaka mitano watu hawakuhoji !!. Mwezi uliopita viongozi wa dini walikusanywa Dodoma kwa nia sawa na hiyo. Watu hawakuhoji !!.

Leo kwa sababu nyumba ya kambo imepata shavu askofu Bagonza, sheikh Ponda na askofu Mwamakula . Ñyoka wote wametoka pangoni !!. Huu ni unafiki wa hali ya juu

Sijaongea kuhusu kuchagua chama hapa. Nimeongea kuhusu mashekhe wa uamshi ambao ndio kura turufu inayotumika
Kwanini hao wako ndani? Atawatoa kwa vigezo gani?
 
A night with emotional and spiritual moment ever, God protect these innocent people, sett them out from the surrounding enemies & any occurring accidents and something like that.

Amen.
 
A night with emotional and spiritual moment ever, God protect these innocent people, sett them out from the surrounding enemies & any occurring accidents and something like that.

Amen.
Inshallah...!!!
 
Lissu kanirudisha kupiga kura nisingeiga kwa kweli huyu jamaa sasa ataelewa nini maana ya wananchi sio wa kuwapa kauri mbovu mbovu kila kukicha. Kosa lake kubwa Magu ni kumuondoa CAG watu wakajua haa msemakweli humtaki unawataka waongo aliefanya maisha ya Magu kuwa magumu yeye kwake Kongwa kapita.
 
Back
Top Bottom