ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,571
- 7,218
Putin ni mwamba nchi 40 leo zimeitana kumjadiliDogo inakuwaje? Comedian Zelenskyy anazidi huko kumjambisha mtu serious Putin!
Bwaha hahaha
Putin ni mwamba nchi 40 leo zimeitana kumjadiliDogo inakuwaje? Comedian Zelenskyy anazidi huko kumjambisha mtu serious Putin!
Bwaha hahaha
Bwahaha hahaha comedian Zelenskyy anaendelea kumjambisha mtu serious Putin.Putin ni mwamba nchi 40 leo zimeitana kumjadili
Comedian anasaidiwa mpaka mabomu ya kurusha ahahahaha, mpaka sasa tirioni 2 za US zimetumika, bado UK na wengine ahahaaBwahaha hahaha comedian Zelenskyy anaendelea kumjambisha mtu serious Putin.
Bwahaha haha!
Kama una akili za kutunza kumbukukumbu, tafadhali sana sana tunza hii comment yako kwa kumbukukumbu za baadaye."Ukitaka kula na wewe ukubali kuliwa japo kidogo" JK.
sasa kwa taarifa yako sisi tumekula na tutaendelea kula pakubwa sana,
utalii utafunguka mara dufu na hivyo tutarudisha pesa zote na faida ya kutosha.
Uwekezaji kutoka marekani utaongezeka mara dufu na hivyo kuinua uchumi wetu lkn pia kuongeza ajira.
Masula ya Elimu yataimarishwa, Afya n.k n.k
Ziara ya Rais na ujumbe wake huko Marekani inafaida nyingi sana na endelevu kuliko unavyo fikiria.
Kazi inaendelea... Kazi iendelee...
Mungu Ibariki Tanzania.
Wabariki viongozi wake akiwemo Mama.
P
🤣🤣Jumbe unawananga ndugu zako?
Nashindwa kuelewa kukaa siku zote hizo kwanini hakutani na President of America? Yaani Biden akae siku tatu tz asikutane na mama!!!Halafu kuna baadhi ya wanafiki wachache eti wanabeza na kudhihaki ziara ya Mhe. Rais nchini Marekani.!!!
Nadhani hawakutegemea kama Mama angeimarisha uhusiano wetu na Marekani kwa kiasi hiki!!.....hawaamini macho yao....walitegemea kuwa angefeli !! lkn Wapi Mama kakaza buti ile mbaya.
Mama amethibitisha Kitaif na Kimataifa kuwa anaweza sana, hivyo wanafiki wamekereka sana.......yaani wanaumia sana kuona jinsi Mama anavyo ang'ara Kimataifa na kitaifa.
Wanafiki wameumbuka sana haswa baada ya ziara hii kuwa yenye mafanikio makubwa wanafiki na wazandiki wameibuka hadharani pasina hata aibu na kuanza kuharisha!!
Tunamuonbea Rais wetu asonge mbele kazi iendelee.....hadi wanafiki na wazandiki wasalimu AMRI.
kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania
Hivi mmaifahamu routine ya Joe Biden? Na unajuwa Marais wa Dunia wangapi wana pita New York? Isitoshe yeye siyo mualikwa wa USA President bali amekwenda kwa shughuli za kibinafsi (Royal Tour)Nashindwa kuelewa kukaa siku zote hizo kwanini hakutani na President of America? Yaani Biden akae siku tatu tz asikutane na mama!!!