A man is capable of traveling 8 kilometres just to sex with a female friend

Wachana na mapenzi kabisa wanaume wakishasikia habari za papuch hasaa ikiwa mpya anaweza hamisha milima na mabonde nini kusafiri 8 km,,,na ndio maana wanawake tunashauriwa sana kutokuacha mwanaume kisa amechepuka maana kwao sex does not mean love
Mwanaume ukianza kumfatilia UMEMPOTEZA, mwanamke ukianza kumuonyesha wivu kupita UMEMPOTEZA.
 
THE FACT remains, as long as it doesn't affect your personal life.... Just travel...

Tena sisi tulio soma vyuo enzi hizo kabla huja enda home likizo ni lazima usafiri kwenda kwa Babe au mchepuko "you mention it" Kupiga mambo ndio uanze kuwaza nauli ya kwenda home ina toka wapi!?? Arusha -Mwanza, Arusha -Dar, Arusha-Tanga. Nime zipiga sana hizi route. Nakumbuka nili wai toka Arusha-Tanga kisa pussee, dadeki... Afu nika spend mkwanja mrefu daah!
 
Wakati wengine tunasafiri dar to Mwanza kwajili ya kazi hiyo tu unatumia siku tatu safarini.
Ukifika Moro unapoza kidogo Singida unapoza tena ukishafika mwanza unakula unaanza safari tena shinyanga dodoma then dar again.
Ujana huu acha tu
 
Back
Top Bottom