Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,317
Kutokumpenda mtu haina maana unamchukia...kama ambavyo kutokumpenda mtu haina maana unampenda!Kwanini tunachukiana ili iwaje? bora kupendana life lisonge mbele
Kutokumpenda mtu haina maana unamchukia...kama ambavyo kutokumpenda mtu haina maana unampenda!Kwanini tunachukiana ili iwaje? bora kupendana life lisonge mbele
Kutokumpenda mtu haina maana unamchukia...kama ambavyo kutokumpenda mtu haina maana unampenda!
Huko ni mbali sana...mi kuna watu siwapendi wala siwachukii kwasababu sina sababu ya kufanya hivyo!!Kinyume cha kupenda nini lizzy?
"Only once in your life, I truly believe, you find someone who can completely turn your world around. You tell them things that youve never shared with another soul and they absorb everything you say and actually want to hear more
jamani nimechanganyikiwa vibaya sana hivi can someone really be they or them.............................huu uwingi na umoja kwenda pamoja imekaaje?
Can someone special in your life who is supposedly to happens once in your lifetime actually turn out to be many lovers to deserve the titular of they or/and them?????????????????????????????????????????????????
Someone who is truly special help me on this one ....................................am truly perplexed......................
Sababu ni kuwa kupenda ni mtihani mgumu sana kwa watu wengi sana na hawajui hata kupa ni nini,kwa kupitia swali lako linaweza kuwasaidia kufikiri juu ya kupenda,wengi wakisikia kupenda huwaza ngono!Sasa mbona hujatoa sababu mzee...?!
Dayym partner...kichwa kinaniuma kwahiyo sijasoma ila naomba niulize swali TUNATAKIWA TUPENDANE ILI IWEJE!!?!
"Only once in your life, I truly believe, you find someone who can completely turn your world around"
Sasa dada hapo pia sijaelewa hiyo sentensi.....nikimaanisha mfano nakutana na mdada ambaye tayari yeye ameshashakutana na mwengine kabla yangua ambaye aliturn her world around completely, kwa maana hiyo mimi sasa nitakuwa useless, ukizingatia tumeambiwa inatokea once in a life time?? Leo msijesema nina gubu, lakini nataka kujuzwa.
upendo ni tunda la roho..
Spread love everywhere you go. Let no one ever come to you without leaving happier.
Mother Teresa .
And da song was sang . . .
.
Ashadii huwa nakaa nakufikiria wanawaita wavuta bangi lkn wana ujumbe murua na wa mapenzi kweli,wanawaita wavaa suruali nusu matk lkn hufikiria mbali sana na kuintatain lkn sasa hawa wavaa suti, wakaa maofficin wanakula rushwa,wanatutenganisha kiimani,kimakabila......RIP Bob Marley plus Lucky Dube.