A love dress

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
binti baada ya kuolewa alikuwa na tabia ya kushinda ndani kwao akiwa uchi kama alivyozaliwa. mama yake alipomtembela kwa mara ya kwanza alimkuta hivyo akamuuliza kwa mshangao, 'mbona uko uchi?' binti kwa tabasamu akajibu, 'ni love dress, mama'. mara ya pili na ya tatu kadhalika. mama nae akatamani kuiga ya mwanae ya kushinda na love dress. jioni moja mumewe (mama) aliporudi akamkuta mkewe uchi! kwa mshangao akamuuliza kulikoni? mama akajibu, 'ni love dress!' mzee akamtazama kwa kina na kwa muda kisha akamwambia, 'nadhani ungelinyoosha kwanza'
 
Uwiiiiii jamani mwenzetu kapatikana. Duh ningekua mie ningekufa
 
huyo mzee nae kapinda !! mama kamwaga mboga mzee kamshushia ugali na maji!!
 
(Rolling eyes!)

If someone love you they love you no matter how you look or what age. He needs to appriciate her the same way he did when they first met and were young
 
Back
Top Bottom