A letter to "The Inept Makonda"

Coming from you I feel honored, brother.

Did you ever see this one..?

 
MKUU UWE NA HURUMA KIDOGO,WE UMEANDIKA KINGEREZA UNAFIKIRI BASHITE ATAELEWA KWELI?UPO SIRIAZI KWELI?
 
Did you ever see this one..?

Of course. In fact I read almost everything you post in here. Not only threads, but replies too. It's only that am not much of a commenter!

Speaking of that thread, it has everything laid out that even a blind man can see what Big Boss has to do. Unfortunately his ego and motives we are not aware about are pulling him back from thinking straight.! 😩
 
Maneno mazito sana lakini hawezi kuelewa English hiyo. Labda atokee mwana jukwaa aitafsiri kwa Kiswahili.
 
unachokielezea ni sawa kabisa.

Yaani kitu ambacho kimetokea ni kwamba, ukiachana na mawaziri wachache, ambao ukifanya examination ni wale ambao wamewahi kuwa kwenye baraza moja la mawaziri wakati magufuri akiwa waziri huko nyuma.

asilimia kubwa sana ya wateule wengine wote wa Mheshimiwa wamefanya observation ya mahusiano ya magufuri na makonda na kuna kitu wamekielewa, wamegundua kuna mambo fulani hivi ukiyafanya au kuyaongea UNAPATA POSITIVE FEEDBACK FROM MR PRESIDENT.

Sasa hawa watu sio wa kuwabeza, these are smart people.

Na kuna pattern mpya imeanza kudevelop na mimi naimonitor, a very strong pattern ambayo tayari inatoa positive feedback pia. tena hii inatoa positive feedback in both swings.

watu kama kigwangala wameisha learn kwamba kilichojitokeza kwa nape, it was a short lived trend, a new, not very new trend, ni kumcritize makonda au kuestablish mgongano nae then unapata positive response kutoka kwa wananchi, na kutoka kwa JIWE.
Kama ndungai alishachukizwa alivyochongewa kwa mkuu ikabidi aliambie bunge
 
Unajua mtu akiwa ana tako kubwa,lile tako linafyonza akili na kuzihifadhi makalioni,muhusika anapotaka kuzitumia akili zake zinasafirishwa tena kutoka makalioni kupelekwa kichwani
 
"Do not argue with a fool. He will drag you down to his level and beat you with experience."
Quotes have never done any man any good. Come with facts not lines of other people's thinking!
 
Nchi hii imepatwa this time around
Wagoloko wanastretch muscles kuonyesha kuwa na wao sio washamba bila kujua ndio wanauexpose ushamba wao!!
 
Back
Top Bottom