A Kenyan motivational speaker has published a book based on Tanzanian musician Diamond Platnumz

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363


diamond-book.jpeg


24-year-old Suleiman Ndoro is the brains behind the motivational book titled ‘Success secrets from Diamond Platnumz’. He says he has been following Diamond’s career since 2009.

According to Ndoro, Diamond is the most successful artiste in East Africa, and people should follow in his footsteps to succeed.

“It’s a motivational book that discusses the good things we can learn from Diamond Platnumz,” Ndoro said about the 110-pages long book.

It comprises 40 chapters such as ‘Education is not the key to success’, ‘Sing good songs’, ‘Believe in yourself’, ‘Avoid destructive criticism (people will always talk)’, ‘Change can’t into can’ and ‘Breakthrough takes time’.

“A wise person learns from someone’s achievements and failures. Isn’t that right? As it is always said, success leaves clues,” said the motivational writer.

Ndoro teased the book cover on social media, sparking negative reactions from a section of Kenyans who asked why couldn’t he have written about a Kenyan artiste.

“Of course, there was some negative criticism. There was always the question, is Diamond really the right person? Why not talk about a musician from Kenya? Isn’t he an Illuminati?” Ndoro said.

Nevertheless, he says he has the support of his family, especially his father who was the first person to read the book and appreciate it.

The author has so far compiled 20 books: 14 medical revision books and six motivational books.
diamond1.jpeg


“I want to grow to an international level for both me and my business and also hold the hands of my fellow young people and light their candles,” said Suleiman.
 
Hongera zake dogo wa miaka 24 ameandika kitabu kuhusu mafanikio huku akitumia maisha ya Diamond kama mfano, mazombi mtaponda na hamkosi cha kusema ila kwa wenye akili kuna cha kujifunza hapo.
 
Hivi kwanini hawa mamotivatinal speaker ni kama waganga wa jadi huwa Choka mbaya wakutegemea kula kwa kuongea wasichoweza kufanyia kazi
 
Hongera zake dogo wa miaka 24 ameandika kitabu kuhusu mafanikio huku akitumia maisha ya Diamond kama mfano, mazombi mtaponda na hamkosi cha kusema ila kwa wenye akili kuna cha kujifunza hapo.
Kuandika kitabu siku hizi ni kazi tena kweli ? Wakati ambapo unakila rasilimali kwenye viganja vyako ni copy paste edit change format print
 
Kuandika kitabu siku hizi ni kazi tena kweli ? Wakati ambapo unakila rasilimali kwenye viganja vyako ni copy paste edit change format print
Umeandika vitabu vingapi jombaa? Hata kama ni vitabu vya mashairi. Maanake ni taalamu hiyo, kuandika kitabu na kikauza na ukapata hela sio jambo la mzaha mzaha. Ulizia ulizia kuhusu dada flani anayeitwa Chimamanda Adichie, kutoka Nigeria ambaye vitabu vyake vimeuza duniani kote na vinatumika hadi kule Hollywood kutengeneza filamu.
 
Big up sanaaa kwake dogo anajua ... Kiukweli DP anafaa kutungiwa mkitqbu kama huyo dogo alivyofanya hata huku tz tu watu wanampiga vita ktk maredio lkn mioyoni mwao wana mkubali sanaaa
Mi pia nitanunua kitabu chake..... Alafu kwanza hii ni aibu kwa watz maana dogo kama huyo kakaachini kachambua life la mond akaamua kuna kitu cha kuwaaambia raia kuhusu siri ya maendeleo ktk maisha
 
Back
Top Bottom