A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

Je unaweza kutupa facts zinazoonyesha impossibility ya Time travelling
Kinachowapa shida sana watu wengi kwenye hii concept ya Time travelling ni state of matter, Ukichanganya na nature ya Matter utaona kuwa it is impossible.

Binafsi mi naiona kama illusion hivi. Kila nikijaribu kukonect matter na machine naona kuna kitu kina miss hivi. Lazima kuwe na medium ambayo itaruhusu kuingia na kutoka, sasa hiyo medium ni nini?

Na hiyo medium lazima iwe hairuhusu movement ya matter, Sasa hiyo medium inawezekanaje? Ni mawazo yangu na huelewa wangu mdogo nilionao.
 
Nilikua nawaza zile gate za nyumba mwenye nyumba akifika zinajifungua automatic bila control ya mtu inawezekana

kelphin kepph
 
.wazazi himizeni watoto wenu wasome masomo ya fizikia na maths. Computer science ndio imeshikiria usukani wa maendeleo ya dunia. Piga makonzi sana mwanao kama anapenda vishazi
i believe kuna zaidi ya hivi ulivyoandika, makubwa zaidi yapo tusiyoyajua.

lkn ni mjinga tu ataamini akili ya mwanadamu ndio imefikia hapo, mimi ninaamini kuna spiritual powers zinazowaongoza wanadamu kufanya hayo for whatever reasons!

kuna vitu mwanadamu anabuni, ila anakua hajui anabuni nini, na kwanini ila tu ile spirit inayompa huo uwezo ndio inajua, mwanadamu sio nyama tu bali ni roho pia!

niliwahi kujiuliza aliebuni mfumo wa hela, banking system, telecoms, computers etc. It cant be. Lazima kuna mafunuo ya ziada mwanadamu anapewa kwa malengo ya mtoa mafunuo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua nawaza zile gate za nyumba mwenye nyumba akifika zinajifungua automatic bila control ya mtu inawezekana

kelphin kepph
Yap wapangaji wote wanakuwa wameistall alama za macho kwenye system ukifika tu inafunguka.
Huu mfumo wa fingerprint Ni local sana
 
Asante mkuu kwa andiko lako zuri lenye kufundisha. mwezi huu imetoka movie ya Terminator: Dark Fate, aise movie hii baada ya kutizama ilinibid nirudi kutizama movie zote za terminator kuanzia ya kwanza mwaka 1984 mpaka hii ya 2015.

hapa ndio nikaelewa haya mazungu yametuzidi mbali sana. leo hii kuna haya marobot nk kila kukicha wanatengeneza nikarelate na hizi series za terminator jinsi haya ma-Machine waliyoyatengeneza leo yamepata akili yanaanza kuwashambulia binadamu.

Je, hii itakuja kutokea huko mbeleni?
 
2HR SWAHILI STAR MOVIES,
Ahsante kwa kushukuru mkuu,

Ila ukweli haya mambo yapo kabisa. Nadhani hata ww ylipokua unaambiwa kua ipo siko utakua na uwezo wa kuongea na kuonana na mtu aliye Dar wewe upo mkoani ila leo hii ndio yanayotokea.
Sema hili jambo bado halijawa public epened.

ikifika muda kilakitu kitakua wazi
 
Back
Top Bottom