A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

View attachment 1311559
Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology inafahamika kama Future studies (masomo yanayohusu mambo ya baadae), Ni masomo yanoyohusu ku-predict mambo mbalimbali yajayo kwa kufanya tafiti kuangalia mambo yaliyopo sasa hivi na kutabiri mambo yajayo.

Futurist wanapredict mambo yajayo kwa kuangalia siasa za dunia,teknolojia ya mwanadamu, intelligence ya mwandamu, Ustaarabu wa mwanadamu, uchumi,nk nk na kutabiri kua miaka kadhaa ijayo kutakua na hiki au kile.

Kwa mfano Futurist wanaelezea jinsi labda maisha ya ya mwanadamu dunia baada ya miaka 20, 30, 50 ijayo yatakua ni maisha yatakayokua yame Advance zaidi. Tutakua tunaishi katika Smart World hivyo binaadamu anaweza kusafiri less than 30 min kutoka bara moja kwenda lingine, Binaadamu anaweza kuanaanza kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence At large, kilimo, Elimu, teknolojia vitaboreshwa, Dini zinaweza kua zimeungana nyingi kurudi kwenye shina kuu (Hasa ukristo)

Hapa tutaangalia Sayansi (Fizikia, Biolojia, hesabu) inaendea kubadili mfumo wa utendaji wa shughuli za kila siku za mwanadamu na kuzifanya ziwe rahisi zaidi. Miaka 20 tukijaliwa uhai tutaona dunia nyingine kabisa iliyopiga hauta katika mambo mbalimbali huku Teknolojia ya Artificial Intelligence ikiwa nyuma ya mabadiriko yote hayo..Always remember mwanadamu anafanya kila njia kua Achieve maisha yasiyo na kifo kwa ghalama yoyote ile.

View attachment 1311562
Genesis
Tarehe 4 September 1927 Boston Massachusetts alizaliwa mtoto kutoka familia ya wahamiaji kutoka Ireland ya bwana John patrick na mkewe Ida McCarthy ambao walikua ni wayahudi, mtoto huyo aliitwa John McCarthy. John McCarthy akiwa mdogo aligundulika kuwa ni mtu mtoto mwenye uwezo mkubwa wa akili hasa zaidi upande wa masomo ya Hisabati, akiwa kijana mdogo yupo shule alikua anajifundishi yeye mwenyewe hesabu za vyuoni kwa kutumia vitabu. Mwaka 1951 alihitimu PHD ya hisabati kutoka chuo cha Princeton University. Alijikita zaidi kwenye masuala ya sayansi ya Computer.

Mwanzoni wa Miaka ya 1950 kulikua na majina mbalimbali amabayo walikua wanayatumia kuita mashine ambazo zina uwezo wa kufikiria, kulikua na majina kama Cybernetics,automata theory, complex information processing nk. Mwaka 1955 McCarthy akiwa ni profesa msaidizi wa hisabati katika chuo cha Dortmouth aliunda kundi ili kuthibitisha na kuendeleza theories zinazohusu mashine zenye uwezo wa kufikiria(thinking machine).

Upande wake alichagua jina la kuita hizo thinking machine ambalo ni Artificial Intelligence. Mwanzoni mwa mwaka 1955 McCarthy alienda kuomba ufadhili wa kifedha ili kuendesha seminar aliyokua amepanga ifanyike kipindi cha wakati wa joto yeye pamoja na wanasayansi 10. McCarthy alienda kuomba msaada huo kwenye Rockefeller Foundation inayomilikiwa na familia tajiri zaidi duniani ya Rockefeller Familly, walifadhiliwa. Semina/mkutano huo unaitwa Dortmouth Conference, ulidumu kwa muda wa wiki 8. Ndani ya mkutano huu ndio kukazaliwa rasmi Artificial Intelligence huku John McCarthy akiwa kama ndio founder wa project hii.

Artificial Intelligence ni nini?
Artificial Intelligence (AI)
ni software ambayo iliyotengenezwa kua na uwezo kama binaadamu, inaweza kufikiria, kupanga kitu, kujifundisha/kusoma kutenda kitu na kuweza kufahamu lugha zetu wanadamu. AI imegawanyika sehemu kuu mbili ambazo ni Weak/Specilized/Narrow Artificial Intelligence na Strong/Generalized/Specialized Artificial Intelligence.

●Weak Artificial Intelligence.
Ni aina ya AI ambayo imeundwa kufanya kazi fulani tuo (specific task). Haiwezi kufanya kazi nje ya kile kitu ilichoamuliwa kufanya, lakini inaweza kujifunza pia juu ya kitu hicho ilichoamuliwa kufanya.....ndio maana inaitwa Specializeed pia.

Mfano mzuri wa Weak AI ni Siri na Alexa, hizi ni Intelligence Virtual Assistance au intelligence personal Assistance ambazo zinatumia sauti katika kuwasiliana na mtumiaji. Siri inapatikana kwenye vifaa vya Apple na Allexa inapatikana Amzon.

Siri na Alexa ni mfano mzuri wa weak au Specialized Artificial Intelligence maana japo hizi AI zinaonekana kuwasiliana na kufikiri kama binaadamu pindi zinapoulizwa swali au kufanya kazi fulani, majibu yanayotolewa na siri au alexa yapo progammeda pia kabla ya siri au alexa kutoa majibu ya ilichoulzwa hua inakagua kwanza ni aina ipi ya jibu litakalofaa kutoka kwenye bank/akiba yao ya majibu/responces mbalimbali.

Kiuhalisia siri au alexa hua hafahamu alichoulizwa ila hua inachukua zile keyword unazotamka kisha inaenda kuzifananisha katika bank ya majibu iliyonayo. Baadhi ya mifano mingine ya weak Artifiacial Intelligence ni magari yenye uwezo wa kujiendesha,netflix, fraud detector, Email filters,Facebook newsfeed, google Assistance nk

●Strong Artificial Intelligence.
Hii ni aina ya AI ambayo hufanya kazi zake bila kusimamiwa na hufanya kazi nyingi (unspecified task). Ni aina ya AI ambayo inaweza kujifunza yenyewe vitu vipya. Mfano unapokua unacheza video game na computer technically unakua unacheza na strong AI, inaweza kujifundisha jinsi ya kukwepa mitego yako,inaweza kukusoma unavyocheza na kubuni njia za kukukwepa. Hapa kwenye Strong AI ndio lengo kuu ya mada hii.
View attachment 1311573

Kuwepo kwa strong AI wanasayansi wametengeneza vitu mbalimbali ambavyo vinatumia AI, wametengeneza maroboti yenye uwezo wa kufikiri nakutenda kama binaadamu mfano kuna yule robot aliyepewa uraia wa Saudi Arabia anaitwa Sophia, kuna robot mwingine anaitwa QT-1 ambae yupo kwenye chombo cha anga huko juu anafanaya kazi ya kuongoza robot wenzake.

Makampuni mengi yanatengeneza maroboti mengi kutokana na matumizi ya shughuli mbalimbali. Inakadiriwa miaka 5 ijayo robots zitachukua nafasi nyingi za kazi. Sex robots zote ni Strong AI..Elon musk kawekeza sana kutengeneza vifaa vyenye teknolojia ya Artificial Intelligence

Pia Artificial Intelligence inaweza kua programed ikawekwa ndani ya Computer au mashine yoyote halafu wewe ukawa unatoa command halafu yenyewe inafanya kazi. Nadhani humu wengi tutakua tumeina muvi za Avangers, iron man zote 3, Captain America, spiderman homecoming na far from home. Ndani ya muvi hizo kuna Artificial Intelligence inaitwa F.R.I.D.A.Y na J.A.R.V.I.S, hizi ni baadhi ya AIambazo nazizungumzia hapa. Zinaweza kujifunza chochote na kutenda na kujibu chochcote. Unakua unazipa command zenyewe zinatenda lolote kutokana na jinsi ulivyozipa access.

Kubwa zaidi inasemekana AI inaweza kupandikizwa ndani ya mwili wa mawanadamu na kua intergrated with brain..Mwanzo huko juu niligusia kua John McCarthy alienda kuomba ufadhili wa mkutano wake uliozalisha hii Artificial Intelligence, nkasema kua alienda kuomba ufadhili kwenye Rockefeller foundation. Hivyo basi unaweza kuona kwa jicho la tatu kua AI ipo chini ya Rockefeller Family, Wazee wa conspiracy theories wanasema kua rockefeller family ni moja kati ya familia 13 tajiri za Illuminat (wanao andaa ujo wa mpinga kristo).

Kama mtakua mnakumbuka miaka ya 2011/2012 kuliibuka mashekhe na manabii uchwara mabao wao kila kitu walikua wanakihusisha na illuminti/Freemason huku wakisema kua eti wazungu wanataka watuwekee kitu ndani ya miili yetu ili kiwe kinatuocontrol. Wapuuzi wale walikua wanazungumzia Artificial Intelligence bila kua na uelewa wowote maana kuna uhusiano mkubwa kati ya kua Shekhe au nabii uchwara na ujinga…Then aint big deal, tuendelee na mada yetu.

Artificial Intelligence licha ya kutumiwa kwenye vifaa vya kiteknolojia na maroboti lakini pia inaweza kuwa intergrated na ubongo wa wanadamu, kwa waliosoma Neurology wanaweza kuelezea vizuri..Mtu anaweza kuwekewa chip ya AI kwa matumizi mbalimbali kutokana na yeye anataka nini. Lakini hili nadhani linatumiwa zaidi katika masuala ya ulinzi na ujasusi.

Turing Test.
Mika ya 1950 Mwanahisabati kutoka England aitwae Alan M.Turing alianzisha kipimo cha kupima kama kweli mashine/computer zinaweza kufikiri kama mwanadamu. Kipimo hicho kiliitwa Turing test, kipimo hicho pia kilitabiri kua mpaka miaka ya 2000 computer zinazotumia Artificial Intelligence zitakua haziwezi kutofautishwa na binaadamu kama mwanadamu na computer hiyo wakifanyiwa mahojiano.

View attachment 1311575
Matumizi ya Artificial Intelligence Jeshini.
Kama utakua unafuatilia maswala ya teknolojia utagundua kua kila teknolojia inayoanzishwa duniani hua ni katika kutafuta nyenzo mbalimbali za kuwezesha nchi fulani kuwa mbali kijeshi, Uvumbuzi wa Computer ulitoka jeshini. Ili askari waweze kuwasiliana kutoka kambi moja na nyingine inabidi vifaa viwepo kurahisisha mawasiliano.

Hivyo kutokana na hilo wanasayani wamekua wanaumiza vichwa ili kufanikisha majeshi ya nchi zao kua na vifaa madhubuti ili kulinda mataifa yao, hapo ndipo computer na vifaa vingine vimevumbuliwa…John McCarthy alikua ni mwanajeshi wa jeshi la marekani. So atleast gunduzi nyigi zimetokana na uwepo wa majeshi na kila teknolojia lazima itumiwe jeshini huko au idara za ujasusi. Zingine tunaletewa huku kwa matumizi ya kawaida zingine wanabaki nazo. Eg. Time travelling.

Huko juu tumeona kua Artificial Inteligence can be intergrated or linked anywhere. Mtu anaweza kua na kifaa kama miwani,saa halafu vifaa hivo vinakua vipo intergrated na AI, so anakua anatoa comand kisha AI inakua inampatia feedback kutokana na access iliyopewa kufikia taarifa fulani.

Marekani kuna kitu kinaitwa Global Information Grid(GIG), hii ni project iliyotengenezwa na Idara ya Usalama wa Marekani (United States Department of Defense). Project hii imekusanya taarifa zooote nyeti na zisizo nyeti kutoka kona mbalimbali ya dunia.

Hii GIG inaongozwa na kitengo kinaitwa NetOps, hiki kitengo kinaongoza majukumu ya vitengo vitatu vikuu ambavyo ni situational Awareness, command and Control na global Information Grid. NetOps inafanya kazi ya kuendesha kulinda na kuhakikisha taarifa zote zinazoingizwa kwenye GIG ni sahihi.

Hivyo basi wana kila taarifa ya mtu mmoja mmoja ilimradi taarifa zako ziwe zipo serikalini kama hivi huku kwetu tunavyopeleka taarifa zetu NIDA…turudi kwenye Artificial Intelligence.Mwanadamu wa kawaida anaweza kuwekewa AI chip ndani yamwili wa mwandamu then ikawa inafanya kazi pamoja na ubongo, hili linaelezewa kwenye Artificial Neural Networks (ANNs) na Neurolink..kuna mambo mengi sana upande huu yanaeleza how IA can intergrated into human body.

Sasa basi labda jasusi wa CIA anaweza kuwa amewekewa chip ya AI ndani ya mwili wake, chip hiyo ya Artificial intelligence kama ina access ya Global information Grid jasusi/askari huyo anaweza kua anapata taarifa zote kwa muda mfupi.

Yaani anaweza kuwa online kama smartphone ya internet, anaweza kuangali mtu au picha ya kitu akapata taarifa zote zinazohusu kitu hicho ilimradi taarifa za kitu hicho kiwe kwenye GIG. Anaweza kuona hadi taarifa zako z benki, background yako yote..sio kwamba anakua naviona ndani ya TV bali anaviona ndani ya ubongo wake.

Anaweza kupiga simu hata kwa kichwa, anaweza communicate na Setilite kupata taarifa fulani, ilimradi chip aliyowekewa ina access ya mambo yote hayo. Kiufupi mtu huyo anakua kama Computer,Computer yenye internet anaweza hata kufyatua mizinga ya bomu kwa kutumia kichwa.

Nchi nyingi za dunia ya kwanza wanatengeneza siraha ambazo zitakua zinajiongoza zenyewe kwa kutumia Artificial Intelligence. Wao wanaita Artificially Intelligent weapon system, yaani siraha zenyewe zinajiongoza…Kama nchi za USA,Russia,India,Pakistan,China,German,Iran,Uk nk zina mifumo ya siraha ambayo imeshategeshwa tayari muda wote siraha ziko tayari na zinajiongoza kwa kutumia AI.

Mfano kama Russia ikipigana vita na USA halafu labda Russia ikapigwa kabisa basi ina ipo mifumo amabayo italipua mabomu ya atom kuelekea USA na kuisambaratisha nchi nzima wakose wote.
Nchi hizo kila nchi imeelekeza mifumo yake kuelekea kwenye nchi amabayo wanaona ni tishio kwao mfano India imeelekeza Pakistan, USA imeelekeza Rusia,Israel imeelekeza kuelekea nchi za uarabuni.

Inasemekana zaidi ya wataalamu na wanasayansi/watafiti 1000 wakiwemo Stephin Hawking,Elon Musk,Steve Wozinak,John McCarthy wamesaini barua ya wazi wakitaka mamlaka za dunia zizuwie matumizi ya AI weapons system.

Artificial Intelligence ina matumizi mengi mengi karibia kwa kila aspect ya maisaha ya mwanadamu. Inaweza tumika vibaya au vizuri..usidanganywe sijui ni habari za kumleta sijui shetani au nani.

View attachment 1311577
The End..
Da’Vinci..
El maestro
Kwa jinsi ulivyoielezea artificial intelligence either huijui au unajua but very shallow mkuu.
I'm sorry to say that.
 
Mkuu hebu fafanua hasa hoja yako ni ipi kwa maneno haya?? Ulichosema nimeelewa, lakini je Unataka kusema nn kuhusu AI??
Unapoongelea machine learning kwa mfano
ukitengeneza algorithim inayoweza kutambua sura za watu getini
itawatambua lakini siku wakija wamevaa kofia au miwani na wewe hukuifanya
kutambua katika mazingira hayo haitawatambua so huwezi kusema hapo kuna learning.
Same applies kwenye deep learning.
 
Bila shaka huna uelewa na Artificial Inteligence. Ni kweli AI Robots hawawezi kufikia uelewa wa mwanadamu ila AI wanawezakufanya kazi kwa urahisi na haraka kuliko Mwanadamu. Kweli baadhi ya AI haziwezi kufanya kazi nje ya programmed task hizo Al ndio zinaitwa Weak AI, lakini Strong Ai wanaweza kufnaya kazi nje ya programmed task maana imekua programed kujifunza kutenda kila kitu..

Hivi hujawahi kusikia kua baadhi ya robot zimeanza kujifunza ubagudhi wa rangi?? Sasa niambie kama ilikua programmed kufanya ubaguzi au imejifunza yenyewe. Kuna matukio mengi tu yanayielezea jinsi AI Robots walivyokua Rogue.. kikubw ni kua Sisi wanadamu tunakua tunajua ni wapi tumdhibiti robot kama akienda vibaya
Dah!!! mkuu mbona unashanganza.
Hapo unasema weak haziwezi nje ya programmed task,
Strong zimekua programed kufanya vyote nje ya programed task.
Unajua ulichomaanisha hapo?
Very contradicting.
 
Primary function ya Kalamu(Pen) ni kuandikia. Nikikupa kalamu unaweza kuchagua kuandika maneno mazuri yenye kupendeza au kuitumia kumtobolea macho mwenzako.
Umeona, kila kitu kinatokana na jinsi wewe utakavyochagua kukitumia. Waundaji wa AI malengo yao ni kurahisisha maisha kwa kuitumia AI ila wemgine ndio hivo Wanatumia kuulia watu.

Kama vile hapa Jf, lengo la JF ni kupashana habari na kubadirishana mawazo watu hufanya hivyo ila kuna wwtu hutumia JF kutapelia watu...so hatuwezi kusema JF mbaya kisa kuna matapeli wakati lengo kuu la JF sio kutumika kutapeli watu.
Cc
Kalpana
Hapa pia umetumia idealistic thinking.
Technology ina-advance kwa sababu ya kutafta power kurahisha maisha ni minor reason.
 
Ninyi

Sasa maendeleo Nini Nini Kama si vitu hivi.
Mkuu maendeleo sio vitu hivyo.Development ni endevour yeyote inayokuletea Afya nzuri na "Real Spiritual Well Being".Anything short of that is destruction.Note that I have said Real Spiritual Well Being.Not any spiritual experience is real.
 
Maendeleo ni

'one step/stage to another'

Hi Step inaweza kuwa Afya, uchumi, miundombini nk nk

Sasa unasemaje kilichoandikwa pale juu si maendeleo.
 
Maendeleo ni

'one step/stage to another'

Hi Step inaweza kuwa Afya, uchumi, miundombini nk nk

Sasa unasemaje kilichoandikwa pale juu si maendeleo.
Mkuu,laiti ungejua,na narudia laiti ungejua,kwamba definition ya maendeleo haikutokana na sisi,imetokana na mabeberu.Na ilikuwa na nia moja tu,kutupumbaza ili waweze kutimiza malengo yao maovu kwetu.Hebu soma hii! Inasikitisha,but true.

Tafadhali soma 😭😭😭

Maneno ya kikatili ya "Richard Smith", mpiga gitaa maarufu wa Uingereza, wakati wa mahojiano...

KUHUSU WAAFRIKA
°°°°°°°°
Nimeulizwa mara nyingi ninavyowaona Waafrika, hapa ndivyo ninavyowafikiria Waafrika, wasio na lugha na wasio na miiko.

Wanauza kila kitu kwa mzabuni wa juu zaidi, hata ardhi. Kisha wanajitia sumu kwa kila kinachopatikana.

Wachungaji wao au wanaoitwa watu wa Mungu. Wanaibia mikusanyiko yao na kuwa mabilionea katika mataifa yao maskini sana. Walifanya makanisa yawe urithi wa familia...baba, mama, watoto na mambo mengine ya kibiashara.

"Mimi sio mbaguzi wa rangi kwa sababu siamini hata sekunde moja kuwa mimi ni bora kuliko mtu Mweusi". Tofauti nao ni kwamba, "tunafikiria vizazi vyetu", sisi ni vikokotoo, tunalinda masilahi yetu na tutaua kwa ajili hiyo ikihitajika".

"Hatuna hisia, tumepita hatua hii". Ikiwa Simba anamhurumia Swala, ndiye atakayekufa kwa njaa. "Wana simba nyumbani, lakini hawaelewi sheria za asili"!!!.

"Kwa kila kitu, wanaamini Ushirikina na Dini".
Tofauti kati ya wengine na Weusi ni, "wakati wengine wanatafakari, Weusi hawafikirii, hawatumii uwezo wao wa kiakili na Weusi wachache sana wanachambuzi".

Na watu wachache Weusi wanapotoboa, tunawakubali kwa upande wetu au kuwaondoa kwa njia moja au nyingine, mara nyingi, kwa mkono wa Weusi wengine.

"Tumewaletea Mungu wetu na kuendelea kubuni dhana zisizoeleweka ili kuwachanganya zaidi".

Baada ya miaka mia, wazao wao watakuwa watumwa zaidi ya walivyo sasa!!!
"Tayari hawana furaha kuliko kizazi cha wazazi wao", na kwa ujinga wanaamini kwamba idadi itakuwa nguvu yao.

"Angalia tu jinsi wanavyozama baharini kuja Ulaya". Tuliwashinda kwa makumi kadhaa yetu na usaidizi hai wa viongozi wao (Weusi wanaouza zao kwa AJIRA FEKI/UZINZI)

Tukawalazimisha waongee na kuandika kwa lugha zetu!!!..wanahukumiana hata kwa kiasi gani mtu anaweza kuongea kama sisi. Tutawadhibiti vizazi vyao kuliko tunavyowadhibiti hivi sasa. (Inatokea tayari!)

Kama wakipewa nafasi wako tayari kuacha ardhi yao ili kuja kama watumwa kwa hiari, badala ya kujenga ardhi yao kwa dhamira na kujitolea

Watu wengine waliuelewa mchezo wetu, (kama Wachina, Wahindi, Wakorea, n.k.) walianza kutumia maarifa ya kiufundi kama sisi kulinda na kuwakatisha tamaa, lakini Weusi hawakuelewa chochote.

"Samahani kuwa mkatili sana katika uwasilishaji wangu. Hakuna cha kibinafsi, niko wazi tu."

(Richard Smith)

Members
Akili iliyo HAI Haichoki Kufanya TAFAKURI
 
Mkuu,laiti ungejua,na narudia laiti ungejua,kwamba definition ya maendeleo haikutokana na sisi,imetokana na mabeberu.Na ilikuwa na nia moja tu,kutupumbaza ili waweze kutimiza malengo yao maovu kwetu.Hebu soma hii! Inasikitisha,but true.

Tafadhali soma 😭😭😭

Maneno ya kikatili ya "Richard Smith", mpiga gitaa maarufu wa Uingereza, wakati wa mahojiano...

KUHUSU WAAFRIKA

°°°°°°°°
Nimeulizwa mara nyingi ninavyowaona Waafrika, hapa ndivyo ninavyowafikiria Waafrika, wasio na lugha na wasio na miiko.

Wanauza kila kitu kwa mzabuni wa juu zaidi, hata ardhi. Kisha wanajitia sumu kwa kila kinachopatikana.

Wachungaji wao au wanaoitwa watu wa Mungu. Wanaibia mikusanyiko yao na kuwa mabilionea katika mataifa yao maskini sana. Walifanya makanisa yawe urithi wa familia...baba, mama, watoto na mambo mengine ya kibiashara.

"Mimi sio mbaguzi wa rangi kwa sababu siamini hata sekunde moja kuwa mimi ni bora kuliko mtu Mweusi". Tofauti nao ni kwamba, "tunafikiria vizazi vyetu", sisi ni vikokotoo, tunalinda masilahi yetu na tutaua kwa ajili hiyo ikihitajika"
.

Unazungumziaje vita inayoendelea sasa hivi mkuu???
 
Unapoongelea machine learning kwa mfano
ukitengeneza algorithim inayoweza kutambua sura za watu getini
itawatambua lakini siku wakija wamevaa kofia au miwani na wewe hukuifanya
kutambua katika mazingira hayo haitawatambua so huwezi kusema hapo kuna learning.
Same applies kwenye deep learning.
Umeongea bonge la point machine learning na AI kwa ujumla inapewa sana hype yaan iko overrated sijui kwanin inasifiwa sana
 
Unazungumziaje vita inayoendelea sasa hivi mkuu???
Ni step ya kuelekea kwenye NWO,where remaining humanity who will be serfs and and Zombies will be fully controlled by Globalists of the likes of Klaus Schwab.
 
Mkuu,laiti ungejua,na narudia laiti ungejua,kwamba definition ya maendeleo haikutokana na sisi,imetokana na mabeberu.Na ilikuwa na nia moja tu,kutupumbaza ili waweze kutimiza malengo yao maovu kwetu.Hebu soma hii! Inasikitisha,but true.

Tafadhali soma

Maneno ya kikatili ya "Richard Smith", mpiga gitaa maarufu wa Uingereza, wakati wa mahojiano...

KUHUSU WAAFRIKA

°°°°°°°°
Nimeulizwa mara nyingi ninavyowaona Waafrika, hapa ndivyo ninavyowafikiria Waafrika, wasio na lugha na wasio na miiko.

Wanauza kila kitu kwa mzabuni wa juu zaidi, hata ardhi. Kisha wanajitia sumu kwa kila kinachopatikana.

Wachungaji wao au wanaoitwa watu wa Mungu. Wanaibia mikusanyiko yao na kuwa mabilionea katika mataifa yao maskini sana. Walifanya makanisa yawe urithi wa familia...baba, mama, watoto na mambo mengine ya kibiashara.

"Mimi sio mbaguzi wa rangi kwa sababu siamini hata sekunde moja kuwa mimi ni bora kuliko mtu Mweusi". Tofauti nao ni kwamba, "tunafikiria vizazi vyetu", sisi ni vikokotoo, tunalinda masilahi yetu na tutaua kwa ajili hiyo ikihitajika"
.

"Hatuna hisia, tumepita hatua hii". Ikiwa Simba anamhurumia Swala, ndiye atakayekufa kwa njaa. "Wana simba nyumbani, lakini hawaelewi sheria za asili"!!!.

"Kwa kila kitu, wanaamini Ushirikina na Dini".
Tofauti kati ya wengine na Weusi ni, "wakati wengine wanatafakari, Weusi hawafikirii, hawatumii uwezo wao wa kiakili na Weusi wachache sana wanachambuzi".

Na watu wachache Weusi wanapotoboa, tunawakubali kwa upande wetu au kuwaondoa kwa njia moja au nyingine, mara nyingi, kwa mkono wa Weusi wengine.

"Tumewaletea Mungu wetu na kuendelea kubuni dhana zisizoeleweka ili kuwachanganya zaidi".

Baada ya miaka mia, wazao wao watakuwa watumwa zaidi ya walivyo sasa!!!
"Tayari hawana furaha kuliko kizazi cha wazazi wao", na kwa ujinga wanaamini kwamba idadi itakuwa nguvu yao.

"Angalia tu jinsi wanavyozama baharini kuja Ulaya". Tuliwashinda kwa makumi kadhaa yetu na usaidizi hai wa viongozi wao (Weusi wanaouza zao kwa AJIRA FEKI/UZINZI)

Tukawalazimisha waongee na kuandika kwa lugha zetu!!!..wanahukumiana hata kwa kiasi gani mtu anaweza kuongea kama sisi. Tutawadhibiti vizazi vyao kuliko tunavyowadhibiti hivi sasa. (Inatokea tayari!)

Kama wakipewa nafasi wako tayari kuacha ardhi yao ili kuja kama watumwa kwa hiari, badala ya kujenga ardhi yao kwa dhamira na kujitolea

Watu wengine waliuelewa mchezo wetu, (kama Wachina, Wahindi, Wakorea, n.k.) walianza kutumia maarifa ya kiufundi kama sisi kulinda na kuwakatisha tamaa, lakini Weusi hawakuelewa chochote.

"Samahani kuwa mkatili sana katika uwasilishaji wangu. Hakuna cha kibinafsi, niko wazi tu."

(Richard Smith)

Members
Akili iliyo HAI Haichoki
Kufanya TAFAKURI
Duh...
 
Richard,
Kwa Tanzania bado kuna ukakasi mkuu kama bado tunashindwa kumudu 4G/4Glte ndio itakua hizi advanced tech.

Itatuchukua muda sana hadi kuendana na kasi ya dunia
Unasema 4G akati watu ata vyoo hatuna tunajisaidia porin tunaficha uso na majani?!
 
Ni step ya kuelekea kwenye NWO,where remaining humanity who will be serfs and and Zombies will be fully controlled by Globalists of the likes of Klaus Schwab.
Sir, you're being paranoid you know...
Think again
 
Mkuu maendeleo sio vitu hivyo.Development ni endevour yeyote inayokuletea Afya nzuri na "Real Spiritual Well Being".Anything short of that is destruction.Note that I have said Real Spiritual Well Being.Not any spiritual experience is real.
You're hallucinating pal
 
You're hallucinating pal
Sikulaumu,hujui why AI.Wewe umepewa the "pros" of AI,tafuta "Cons" zake utachoka.Usiwe waku danganywa danganywa wewe,Globalists hawana wanacho kuletea wewe cha faida kwako who are you after all.Hivi unajua kwao wewe ni "useless eater" who is to be eliminated,and they are doing it.Hivi unajua we ni "grasshopper" wa kuwa sprayed with insecticides ujifie mbali,and they are doing it.Hivi unajua wewe ni mfugo wa kutolewa kafara,kuliwa nyama na kuwa culled,kunyonywa damu na kudangwa various chemicals kama Adrenaline na Adenochrome!Amka wewe,acha ujinga.
 
Sikulaumu,hujui why AI.Wewe umepewa the "pros" of AI,tafuta "Cons" zake utachoka.Usiwe waku danganywa danganywa wewe,Globalists hawana wanacho kuletea wewe cha faida kwako who are you after all.Hivi unajua kwao wewe ni "useless eater" who is to be eliminated,and they are doing it.Hivi unajua we ni "grasshopper" wa kuwa sprayed with insecticides ujifie mbali,and they are doing it.Hivi unajua wewe ni mfugo wa kutolewa kafara,Julie's nyama,kunyonywa damu na kudangwa various chemicals kama Adrenaline na Adenochrome.Amka wewe,acha ujinga.
Nje ya mada kidogo kama hutajali. Huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Back
Top Bottom