My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Kwa hiyo mnasemaje? Mmeona,mmeshuhudia,mtawafanyaje wazungu? Pelekeni jeshi mkawakamate.Marekani ndio wamegharamia mkutano na kuwalaza kwenye hoteli ya kitalii, kwa hiyo Zitto na bendi yake hawana namna zaidi ya kuandika walichoambiwa na State Department. Wakati huo huo, Jaji wa Marekani ameahirisha hukumu ya aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi katika Serikali ya Trump kwa madai ya kushirikiana na Urusi kwenye uchaguzi wa mwaka 2016. Kwa nini wazungu wasituone sisi ni S---hole? Kwao wanakufunga, hapa tunakula na kulipiwa malazi halafu tunaimba demokrasia!