ni qualification inayotolewa na microsoft,mtu mwenye hiyo qal ni mtaalama wa product za microsoft kama operating system,windows na application,vilevile ni mtaalam wa network,computer troubleshoot,server,etc
qualification yako ni A+ pekee? what about N+ and other certification like CCNP, MCSE? kama ni hiyo moja tu we bora ubaki huko kama umepata bahati ukapata kazi huku wanaangalia zaidi vyeti kuliko uwezo wa mtu!!!
Hii kali, una cert lakini haujui imetoka wapi, A+ sio product ya Microsoft. Kama umepata kazi huko ulipo na A+ basi una bahati sana mara nyingi haipewagi uzito sana, baki huko huko, haitakusaidia sana kwenye kutafuta kazi.