A Headless Body Katikati ya Barabara ya Mandela!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Wanabodi.

Asubuhi hii, kumetokea ajali mbaya ya pikipiki barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini ambapo mwendesha piki piki amegongwa na semi trella!.

A headless body still lies at the center of the road besides his head attached to his still helmet!.

Naomba nisiseme zaidi!.

RIP Mwendesha Piki Piki.

Pasco.
 
OMG! Kwanini kila siku ajali? Hakuna hata kujifunza kutokana na ajali zinazotokea daily? Mungu atunusuru na ajali hizi. RIP BODABODA DRIVER.
 
duh! nilitaka nipande bodaboda sasa hv ili iniwaishe kituoni, ila kwa taarifa hii ngoja nivute mdogomdogo tu.
 
Maskini ameamka asubuhi akatafute riziki kwa ajili ya familia yake, mauti yamemkuta,inasikitisha sana. R.I.P mwendesha bodaboda
 
Tuwe waangalifu sana labda itasaidia kupunguza ajali hasa kwa vyombo vyote vya moto R i p the bodaboda driver
 
mkuu Pasco maeneo hayo ni moja kati ya sehemu za barabara hatarishi kabisa hapa Dar...ajali mbaya hutokea sana maeneo hayo
 
so sad barabara mbaya sana hiyo......

Na waendesha pikipiki serikali itafute namna ya kuwaokoa, nina maanisha mafunzo ya sheria za barabarani kwa wale wasokuwa na mafunzo hayo
 
Ajali za piki piki kama vile tumezizoea lakin kifo hakizoeleki.r.i.p boda boda
 
Pasco umenikumbusha machungu hiyo barabara iliua my BF 199....saa saba mchana................barabara mbaya sana hiyo
 
Last edited by a moderator:
mkuu Pasco maeneo hayo ni moja kati ya sehemu za barabara hatarishi kabisa hapa Dar...ajali mbaya hutokea sana maeneo hayo

Dar Es Salaam yoooooooote barabara zote ni hatarishi.

Hakuna sheria za barababara na kama ziko no one cares,

Wanaokamatwa na polisi wana bahati mbaya ambayo kuiepuka ni rahisi sana unatoa legal tender mambo basi.

We should expect anything better.

Tubadilike watanzania
 
I hope bado uko single nijitose ?.RIP muendesha boda boda na BF wa dema Amsi

Pasco umenikumbusha machungu hiyo barabara iliua my BF 199....saa saba mchana................barabara mbaya sana hiyo
 
Last edited by a moderator:
Waendesha tukutuku ukweli wanahitaji mafunzo ya kosha Na ikiwezekana wafungiwe kwanza mpaka wapatae mafunzo ya kutosha. Hawa watu hawaelewi kirahisi na has pale wanapojifanya wao wanajua sheria wakati ni maamuma. Wengi wao hawajui hata kuandika majina yao, pili pikipiki sio ajra pekee ambazo vijana hawa wanaweza fanya.
 
Mandela rd ndiyo inayounganisha mikoa na bandari hivyo malori ni mengi sana, halafu madereva wengi wa hayo malori hawaendeshi kwa kujihami, wanakimbiza sana, kumbuka ajali iliyotokea pale river side mwaka huu mwanzoni chanzo ni mwendo kasi uliozidi na ukitaka uone vizuri wanavyokimbiza hebu nenda usimamae pale maeneo ya gereji uone wanavyoshuka kutokea external. N amuendesha pikipiki nae utamkuta yumo na spidi 120 sasa kwa hali hii si tunahatarisha maisha yetu. Lazima tuendeshe kwa kujihami muda wote, kuzingatia sheria na kutumia busara na kuwajali watumia barabara wengine.
 
This country is cursed! Na maisha ya mtz hayana thamani kabisaa.

Na unaetaka picha unamaanisha? Nenda mortuary huko.
 
Back
Top Bottom