Thumb up guys for the standpoint on what you think its right. Tuko pamoja nanyi on this ila muendelee hivyohivyo na msimamo msije mkapewa vikamati huko bungeni mkasahau kilichowapeleka kwa kuonjeshwa vijisenti vya serikali.
Mbunge mmoja wa Chadema (eg Lissu) ana-worth 50 wa CCM, katika kusimamia masilahi ya nchi. Ukweli ndo huo. Chukulia kwa mfano lile rundo la Wabunge kutoka Zanzibar. Nini faida yao kwa umma wa Watz walio masikini?

Kuna uwezekano wabunge wengine wakaukataa uwaziri kwa kuogopa challenges za wapiganaji wa CHADEMA. Hawa jamaa wana msimamo imara sana. Jana yasingekuwepo madesa spika alikua anatia aibu pale
Tunataka wabunge wa CCM vilaza waogope hata kuuliza swali just ku mu impress spika. Na mawaziri nataka kipindi hiki majibu ya jumla jumla kutoka kwa mawaziri yakomeshwe. Taifa mbele kwanza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.