Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Nilikuwa nikiangalia TV channel 4 sasa hivi kulikuwa na hii documentary ya huyu binti ambaye huria machozi ya damu,wakati mwingine damu huvuja kutoka juu ya kichwa chake na hakuna tobo wala mkwaruzo wowote, Huyu Dr kashindwa kutambua ninini hasa, Je kuna ukweli wowote hapo? Nimeperuzi kwenye net nikakuta imewekwa kwenye National Geographic.Angalia hapa http://channel.nationalgeographic.com/episode/the-girl-who-cries-blood-4450/Overview#tab-Videos/07147_00